Kauli mbaya uliyowahi kujibiwa na mpenzi wako wakati unamtongoza

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,892
2,000
Habari zenu wana jamvi,

Nimeweka hii post hapa sababu ya moja ya kauli mbaya nliowahi kujibiwa na mpenzi wangu wakati namfuatilia awe wangu.

"Kuliko nikupe papuchi yangu bora nimpe mbwa"!! Hii ndio kauli nliyojibiwa na huyo demu wakati huo namtongoza nilijiskia vibaya sana kwa kauli hii na ilinifanya niongeze mbinu za kumfanya anikubali ila kwa nia ya kumpata akishanipa apo na mm nasepa ili kumkomoa japo nilitokea kumpenda sana kabla ya kunijibu hivyo.

Hatimae akaingia anga zangu kaja home baada ya purukushani za hapa na pale na nguo tushavua nikamgeuka fasta na kumwambia sili sahani moja na mmbwa aende akampe huyo mbwa aliekua akiniringishia aliniomba msamaha sana na machozi yakamdondoka nlimwonea huruma nkamsamehe na hd sasa nipo nae na ni mke wangu tunaishi wote.

Ni kauli gani mbaya kuwahi kujibiwa na mwanamke/mwanaume wakati unamfuatilia au kukufuatilia?
 
Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,422
2,000
Duu hizi post za mapenzi zimezid aisee ngoja tuwache mlale na siwezi kuwatangaza mana utasikia kantangazeeee!
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,301
2,000
Dada mmoja kila nikimtokea alikuwa ananiambia wewe bado mdogo kila ninavyojitahidi anaendelea niambia wewe bado mdogo, siku moja akaniomba nimsaidie baadhi ya shughuli zake nyumbani kwake ndio ilikuwa kosa la jinai alilofanya kwa kweli niliselebuka sana, sasa mimi nikajua yameisha kwa siku moja heee yeye akawa zamu yake kunisumbua na mimi nikamuambia wewe si uliniambia mimi mdogo imekuwaje tena! basi ikawa ndio kamchezo kwa kweli ngoja niishie hapa
 
chegreyson

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
945
500
'Hivi ukijiangalia vizuri sura yako ,wewe malaya unaweza kutembea na mimi?Katafute wa saizi yako,hapa sio mahali pako.'
Niliongeza speed hatinaye nikaanguka naye.
 
saragossa

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
2,151
2,000
Habari zenu wana jamvi,

Nimeweka hii post hapa sababu ya moja ya kauli mbaya nliowahi kujibiwa na mpenzi wangu wakati namfuatilia awe wangu.

"Kuliko nikupe papuchi yangu bora nimpe mbwa"!! Hii ndio kauli nliyojibiwa na huyo demu wakati huo namtongoza nilijiskia vibaya sana kwa kauli hii na ilinifanya niongeze mbinu za kumfanya anikubali ila kwa nia ya kumpata akishanipa apo na mm nasepa ili kumkomoa japo nilitokea kumpenda sana kabla ya kunijibu hivyo.
Hatimae akaingia anga zangu kaja home baada ya purukushani za hapa na pale na nguo tushavua nikamgeuka fasta na kumwambia sili sahani moja na mmbwa aende akampe huyo mbwa aliekua akiniringishia aliniomba msamaha sana na machozi yakamdondoka nlimwonea huruma nkamsamehe na hd sasa nipo nae na ni mke wangu tunaishi wote.

Ni kauli gani mbaya kuwahi kujibiwa na mwanamke/mwanaume wakati unamfuatilia au kukufuatilia?

Mi kuna mmoja nilimtongoza tena nlikua nataka kumuoa kabisa manake nlimpenda sana lakini alinijibu kuwa nikimuoa nikazaa nae ntamuharibia watoto manake nna sura mbaya na wao ukoo wote ni wazuri so ukoo wao utaingia doa. Nlisikitika sana. That was twelve years ago. Mi nimeoa nna watoto ma handsome balaa na ni wakubwa wa kwanza yuko la tano, but yeye mpaka leo hajaolewa na mtoto hana. Namuonea huruma sana.
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,463
2,000
Mimi alinambia hanipendi, akaja kujileta nikamtema na mimi, ikawa ndo hivyo hadi leo kila mtu na zake hamsini
 
Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,892
2,000
Mi kuna mmoja nilimtongoza tena nlikua nataka kumuoa kabisa manake nlimpenda sana lakini alinijibu kuwa nikimuoa nikazaa nae ntamuharibia watoto manake nna sura mbaya na wao ukoo wote ni wazuri so ukoo wao utaingia doa. Nlisikitika sana. That was twelve years ago. Mi nimeoa nna watoto ma handsome balaa na ni wakubwa wa kwanza yuko la tano, but yeye mpaka leo hajaolewa na mtoto hana. Namuonea huruma sana.

Hahaa, pole yake mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom