Kipi uliahidiwa/ uliahidi kwa mchumba/mke au rafiki yako lakini hujatimiziwa au hujatimiza ingawa bado hujaisahau ahadi hiyo na kila umuonapo aliyekuahidi au uliyemuahidi huwa unaikumbuka?
Mi nakumbuka nilimuahidi mke wangu kumnunulia gari lakin hadi leo yapata miaka 5 sijamnunulia bado.
Akinikumbusha najifanya niko bize ingawa roho inanisuta.
¤¤Kweri ahadi ni deni¤¤
Mi nakumbuka nilimuahidi mke wangu kumnunulia gari lakin hadi leo yapata miaka 5 sijamnunulia bado.
Akinikumbusha najifanya niko bize ingawa roho inanisuta.
¤¤Kweri ahadi ni deni¤¤