Kupenda ni nn?

Ni hisia unazokuwa nazo pale unapokuwa na hisia ambazo hujawahi kuwa nazo kabla.....
 
Ni ugonjwa ambao kama ningeujua mapema basi nisingeugua tatizo nimeugua kwanza afu ndio najua ni mbaya kuupona siwezi .
Haya ndo mapenzi
 
Kupenda ni kufurahi kuona mwenzako ana furaha na unafarijika unapoona akiwa na furaha hata kama furaha hiyo imeanzashwa na wewe au na mwingine. Ila as long as she/he is happy, you are happy too.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom