Kuna binti ambaye tunasoma nae chuo fulani hivi,nilitokea kumpenda sana siku 1 tulipokutana katika hotel fulani hapa Tanzania.
Kiukweli nilivutiwa the way alivyo maana dada huyu anajiheshmu sana ikibidi mwanaume nimwage sumu kwa mtoto huyu,dah kwakel nilipata wakati mgumu sana kumpata kwani dogo ni mtu wa challenge sana na ni binti ambaye katika maisha Yangu niliamini atanifaa nikimpata.
Kuna kipindi nilikuwa naenda chumbani kwake kwenye hostel fulani hapo maeneo ya chuo na binit anapenda kunipigia sana nyimb za mtindo wa rnb hasa za kizungu maana alikuwa anafikisha ujumbe kwa njia ya nymbo na mara nyingine hunambia kuwa ni dedication kwangu,nami nilifurahi sana.
Siku moja akaniambia ananipenda na hataki kila mtu ajue uhusiano huo,but kipindi tunafunga chuo nilimwambia nahitaji kumkumbatia walau kwa dakika chache akagoma akidai kuwa haruhusiwi kisheria,nikamuulza are you perfect?Akasema ndio.
Gafla usiku huo ikazama text kutoka simu yangu kuwa hataki nimsindikize tena kama tulivyokubaliana usiku huo,na tokea hapo binti hapokei simu yangu wala hajibu text zangu na bado nampenda.
Nifanye nini hapo wadau?