Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

....nilikuwa nauliza tu wakuu....
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana jf Nimekuwa nikisoma thread za watu na wanavoshauliwa nahisi nami ntashauliwa kuondoa huu mzigo unaonimaliza kila kukucha Nimependa nisipopendwa Ni hiv mwaka 2009 nilipata kazi...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
MAMBO 5 UTAKAYO KUTANA NAYO KATIKA SAFARI YA KUKAMILISHA NDOTO ZAKO: Naamini mmeamka salama wanaJF: 1. Utapitia wakati mgumu. Utatoka katika eneo lako la Faraja (Comfort zone). Lakini baadaye...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana. Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
heshima kwenu wana jf mpenzi wangu bado bikira nifanyeje kumuepushia maumivu siku ya kumbikiri msada tafadhali. Naomba ku wasilisha.
0 Reactions
95 Replies
15K Views
Salam Alikuwa ni binti mrembo,sikuwa na uhusianonae,sijui tulipendana au tulitamaniana,mi sijui. Kwa bahati nzuri ikatokea tunasafiri pamoja toka tabora. Tulikata tiketi na tukapata siti za...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Nmechoka kukaa peke yangu natafuta mrembo mrefu wastani elimu chuo kikuu umri 18-26 mwenye upendo. Kama upo tayar npm
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habar wana JF, Simuliwa omba yasikukute, nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana, hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Nimekaa mikoa mingi sana hapa Bongo lakini sijaona eneo ambalo wanafunzi wanaomba hela kama DAR. Utasikia shikamoo, ukijibu tu, anakwambia ''naomba unisaidie sh.500'' au kama umepanda nae...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mambo vipi wana MMU. Kuna maneno fulani huwa yananikera hasa pale ninapo mtongoza msichana. Basi anaponiambia huwa nakosa hata jibu but inabidi nipige sound tu nakurudisha kumbukumbu alimradi...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Mimi kijana wa miaka 30, natafuta mchumba msomi aliyehitim chuo mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 26. Dini sichagui.. ukiwa tayari tuma CV yako!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habarini, mm ni kijana wa umri wa miaka 28 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 hadi 26.awe mkristo mchamungu kazi sio lazima ,mwelewa(Understanding),anajitambua (Selfdetermination)...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi ni mdada mwajiriwa wa serikali.Nilitokea kuwa na mahisiano na mwanaume mmoja ambae hajaajiriwa na yupo chuo kikuu flani cha afya jijini Mwanza,alinitambulisha kwa baadhi ya ndugu zake akiwepo...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
wanawake ukiwaambia ukwel wa maisha yko mtasumbuana xana lkn ukiwadanganya fasta xana umewapata cjui why!!!
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wakuu mimi nina kitu kinanisumbua sana.hivi ni kwanini mtu akimfumania mkewe au girlfriend wake.ni fashion hivi sasa watu watamfanya vibaya yule mwanaume kama kumlawiti.kwa nini adhabu hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kuna mzoefu yoyote wa pale igo lodge sinza mapambano.naweza kupata mchepuko wa maana kwelo? Naombeni msaada
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Watu wote maana yake watu wote! Watu wakishakuwa na sifa ya kuwa wanandoa, kwa maana ya kupata kibali kwa wazazi na hatimaye mtu kukabidhiwa mke n.k. Ndoa hiyo inapaswa kuheshimiwa! Hata kama...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
umerudi nyumbani mkeo hayupo shemeji yako anakukaribisha hivi....
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…