Jamani kila mtu anayalilia mapenzi tena kwa nguvu, akiyapata wengi wao wanaanza kulalamika na kutaka kuyakimbia.
Je, ni sababu ya tamaa, utoto,kutojipanga au nini? Hebu toa sababu moja na eleza...
Habar zenu waAfrika kamili.
Kwa kifupi mimi ni mzima kabisa yaani sijui niseme nini kwa kweli nashukuru kichwa kimepona japo kilikuwa kinauma kwa mbali.
Sijaja humu kwa salamu tu kwa sababu...
Napiga hodi wana JF humu mnikaribishe
Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada mwenye mapenzi...
Nimetumia dakika kadhaa baada ya kuandika hii title nikiplan nianzeje huu uzi ili watu wanielewe. Hata hivyo nimegundua kuwa itakuwa ngumu sana, ingawa no ukweli.
Vigezo nilivyotumia kuwaza miaka...
Viuno kwa waafrika ni sanaa, hufanyika ngomani, shuleni,shereheni na hata faraghani. Wazungu wamejaribu sana kujifunza sanaa hii lakini wameshindwa,haipendezi.
Kwetu Tanzania watu wala...
Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu.
Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene...
huyu mdada amkekuwa na tabia ya kunifokea anapokuwa na hamu , shida yake hutaka nimbembeleze alafu nimfanye.
Na ninapomfanya huwa mpole.
Sasa najiuliza atakuwa na tatizo gani?
Za asubuhi wana MMU
Hebu tuwekaneni wazi jamani maana naona hizi kesi sasa zimekuwa kama habari ya mjini
Juzi kati kuna rafiki yangu kaja kunipa habari kuwa ameopoa bonge la mtoto tena wa nguvu na...
Habar zenu wana MMU, tangu wiki iliyoisha nimepatwa na masahibu ya kujigi jigi over performance. Lile tunaloliita kihere here a.k.a bao la kwanza kwangu imekuwa tofauti maana nachukua mda mrefu...
Mimi ni binti nina mpenzi wangu ambaye tuna muda mrefu kwenye uhusiano wetu.
Tatizo ni kwamba wakati nampenda alinifanyia visa vingi sana aliniumiza mpaka nikaona dunia chungu ila sikuwa na uwezo...
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume...
kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ananafuu? hata kuishi naye.cc miss neddy, miss chagaa...
kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ana afadhali? hata kuishi naye.cc@missneddy, miss chagaa...
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake.
Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa...
Jamani tumuepushe shetani kwenye huu uzi! Bi mkubwa ashasamehewa kiroho safi! Mambo mengine yaendeleee! Tufanye yetu saivi. Maana soon nitapotezwa mmu kama ndege za malesia kama nyuzi zangu...
Jaman yule dada ambaye nilimlipia nauli kwenye daladala jumapili iliyopita halafu akanipeleka kwa mume wake akaenda kunirudishia, jana tumeonana tena.
Kama inavyofahamika kwa sisi watanzania...
Mwangaruka mabestito
On your Birthday today,
take time to enjoy the gifts of God,
the love of your kith and kins and
the warmth that the people around you have given,
because life is nothing...
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume...