Hakika mwisho wa mwaka ndio huo unasogea, ni kipindi cha mapumziko na huambatana na sherehe mbalimbali, ni vizuri tukawa na tabia ya kuzipeleka familia zetu mahali tofauti na nyumbami hata kwa...
Wanajamvi natumai hamjambo, waswahili wanasema, MFICHA MARADHI BASI KIFO KITAMUUMBUA.
Mwenzenu nataka mnijuze ingawa nafahamu watakuja watu ambao hawatakua na busara bali kejeli na dharau lakini...
Natafuta mwanamke awe na umri wa miaka 20 mpaka 35. nitampa mapenzi moto moto, sibagui dini wala kabila wala upande wa muungano atokao. wala mkoa. taratibu za kujitambulisha tutazifanya baada ya...
Kubadilisha wapenzi wakati wa ujana kabla ya ndoa husaidia kutulia kwenye ndoa?
Habari zenu wadau,
Kuna Usemi hupendwa kutumika sana "ujana maji ya moto" au ule mwingine "ujana damu inachemka...
Inaelezwa kwamba, wanawake wana huruma sana na wanaume ni wakatili. Hili la wanawake kuwa na huruma linakubalika kirahisi kwa watu wengi, lakini la ukatili kwa wanaume huwa linatiliwa mashaka na...
Nimeikuta sehemu nikaipenda
Kama kuna kitu chochote kinachozuia wewe usiwe SUCCESSFUL kiondoe kwenye maisha yako..Kuna watu tangu WAMEOLEWA na biashara zao zimekufa,eti mme hataki ufanye...
Ni hivi.
Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sana lakini baadae alikubali akakiri kosa na...
Husika na somo hilo hapo juu;
Haya ni makosa ya kawaida sana kufanywa humu mitaani mwetu tunamoishi:
Usikubali mtoto wako kuitwa MCHUMBA
Hii ipo sana mitaani kwetu. Babu, bibi na baadhi ya...
It's hard to find a good man nowadays, it is like all good men are taken.
If you ever get them they are either married to a lady that does not deserve them or just repenting from a bad marriage...
Nimevutiwa sana na familia ya Obama nikajaribu kufukua kufukua baadhi ya ndoa za wanasiasa nimegundua wanasiasa wengi hawana stable marriages na wengine hawajaoa kabisa au wanamichepuko mingi...
Sijafamu mpaka leo kwa nini Mwenyezi Mungu aliamua uzalishaji wa nyuki kuwa kamoja tu alafu kushineh (Ana R.I.P)
We kama mwanaume ungekuwa umetuaga lini? Je ni fair kweli hii?:wacko:
Za asubuhi wana MMU.
Jamani nilichokiona jana nimeshindwa kukiamini ila inabidi tu niamini.
Kuna rafiki yangu ana mpenzi wake kiukweli walipendana yaani hata mimi niliyapenda mapenzi yao hadi...
I always visit here in jf and watch others member post and comments,very seldom i take out my time to write my own post.
Today i would like to share with u guys how hard has it become for ladies...
KWA MUDA MREFU KUMEKUWEPO NA MIJADALA MINGI NINI MAANA YA UPENDO WA DHATI NA TABIA ZAKE.
Wakati jamii inaamini kuwa haiwezekani mtu ukapenda zaidi ya mtu mmoja mimi nimekuwa nikichallenge mara...
Jana nilikuwa kwenye semina Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi sana ikiwamo mambo ya kujamiana.
Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake...
Beyoncé was hit with another round of pregnancy rumors after unconfirmed online reports recently claimed that Jay Z revealed the happy news during their "On the Run" tour stop in Paris. The rapper...
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Nimeona baada ya lile nuclear la hypocrytical institution, mlikuwa mbogooo! Hahahaaa! Ikabidi niwape breather kidogo! Sasa ni muda muafaka wa...
Kwa wale ambao sio ma-raster (dread locks), nadhani mtakubaliana na mimi juu ya huduma tunayoifaidi ndani ya saloon za kiume hasa pale unapofika wakati wa ku-scrub, kuosha au hata wakati wa...
Jamani hapa kinachotakiwa kwangu ni ushauri wenu tu basi.
Nikirejea nyuma kidogo kuna yule mdada niliyewahi kuwapa story zake hapa kuwa nilimlipia nauli kwenye daladala then jamaa yake...