A man is a sex machine

A man is a sex machine

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Jana nilikuwa kwenye semina Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi sana ikiwamo mambo ya kujamiana.

Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake ziko karibu tofauti na mwanamke

Walisema watu wanapokua kwenye umri wa kubalehe mwanamke na mwanaume hisia zao huwa sawa katika hali ya kawaida. Lakini mazingira, jamii na tamaduni zinaleta utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.

Katika swala la kujamiana mwanamke huangalia vitu vingi sana kabla ya tendo lenyewe.

Lakini mwanaume yupo kihisia zaidi.

Mwanamke huchukua mda mrefu sana kupata hisia.

Basi sasa walisema mwanamke anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu ili hisia zake ziwe juu.

Katika miaka ya kubalehe asilimia kubwa sana ya wanaume wamepiga puli hii ni sababu kuwa aibu inakuwa iko juu sana kuongea na mwanamke.

Kwahiyo mwanaume anatajwa kuwa ni Sex machine hachoki labda tu kwaajili ya magonjwa. Lakini kwa hali halisi hata kibabu chenye miaka 100 kinaweza kikamzalisha msichana wa miaka 18.

Ni hayo tu.
 
Asante kwa kushare mkuu....Tukipata watu 10 wengine kama wewe ni vizuri kwa matumizi katika ndoa zetu
 
sex machine zamani.... siku hizi wenginevl wanageuzwa, wengine mpaka wajibust na mizinga ya spirit na supu ya pweza!!!
 
Hahahahah, wengine mpaka aboostiwe na mwanaume mwenzie ndo mdudu asimame hahahaha
sex machine zamani.... siku hizi wenginevl wanageuzwa, wengine mpaka wajibust na mizinga ya spirit na supu ya pweza!!!
 
Wanaume zamani wa siku hizi hamna kitu,mara anaumwa ooh nguvu zimepungua,na ndio maana wake zao wanakuwa na vidumu kwa ajili ya kukidhi haja zao. Halafu mtaani wanajisifia mimi nina mke na wtoto hahaaaa
 
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....
 
Semina za siku hizi bana some time mnakosa semina za kwenda au.Ok mwanaume ni sex machine what next
 
Annael ungekuwa unaandika kama hivi kila siku, kamwe nisingelikuwa mpinzani wako wa jadi...
 
Last edited by a moderator:
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....

wengine ndo wanapendewa vitambi vyao... wanaambiwa vipo sexy ati
 
Yah ni kweli...Mwanaume anaweza oa hata akiwa mzee na akazaa vile vile ila wanawake ndio issue..
Na kibabu kikiwa kinakula vizuri mboga mboga na matunda na mazoezi Mechi yake inakuwa nzito hasa usijeshangaa binti unamng'ang'ania... hahahahahahaha baaas nisiendelee ni hayo tuuu


Jana nilikuwa kwenye semina Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi sana ikiwamo mambo ya kujamiana.

Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake ziko karibu tofauti na mwanamke

Walisema watu wanapokua kwenye umri wa kubalehe mwanamke na mwanaume hisia zao huwa sawa katika hali ya kawaida. Lakini mazingira, jamii na tamaduni zinaleta utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.

Katika swala la kujamiana mwanamke huangalia vitu vingi sana kabla ya tendo lenyewe.

Lakini mwanaume yupo kihisia zaidi.

Mwanamke huchukua mda mrefu sana kupata hisia.

Basi sasa walisema mwanamke anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu ili hisia zake ziwe juu.

Katika miaka ya kubalehe asilimia kubwa sana ya wanaume wamepiga puli hii ni sababu kuwa aibu inakuwa iko juu sana kuongea na mwanamke.

Kwahiyo mwanaume anatajwa kuwa ni Sex machine hachoki labda tu kwaajili ya magonjwa. Lakini kwa hali halisi hata kibabu chenye miaka 100 kinaweza kikamzalisha msichana wa miaka 18.

Ni hayo tu.
 
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....



U made may day ! nimecheeeka saana..!
 
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....

Khaaaa watu mna mijimaneno jamani hahahahahahha
 
Hii semina imenifungua sana.
 
Back
Top Bottom