Mapacha tena

Mapacha tena

Hongera sana mkuu, lakn huyo wakike unaniruhusu kuja kukupa posa moja kwa moja, akifika la saba mimi nachukua.
 
Kaxi nyengine iko kwenye ulezi, mungu amjalie mume mwema mwenye kumsaidia mkewe kwenye malezi
 
Hongera mkuu hakikisha unawapa malezi bora

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera mkuu.Hao mafirst born wamepishana siku kidogo na mwanangu27/4/2012.Huwa natamani mapacha jamani hongera sana.Mungu akukuzie.
 
Back
Top Bottom