Habari wadau MMU? Natanguliza shukrani na kujikita moja kwa hoja iliyonileta hapa!
Nilianzisha mahusiano na mabinti watatu tofauti na kila mmoja anayo sifa binafsi ya kipekee, uzuri, tabia n.k...
Mimi kijana mtanashati mwenye umri wa miaka 27,natafuta mke awe na elimu ya kidato cha 4 mpaka chuo. Dini Islamic,weupe,warefu na umbo LA kati nawahitaji sana. Tupia text 0755090831 kama unahusika
Habari za mchana, usiku, jioni, etc., wana MMU
Nimestaafu rasmi kupost humu MMU, lakini leo nimelazimika kufanya hivyo kwa sababu muhimu kabisa.
Naomba tupeane taarifa kuhusu viwanja vizuri vya...
Kuna Kisa kimoja nataka niwashirikishe.
Mkabala na Nyumba niliyohamia hivi karibuni baba mwenye nyumba alifariki dunia, baba huyu aliacha mke na watoto kadhaa, aliacha na mali zikiwemo Nyumba...
Usimuamini bwana au bibi anaejifanya eti ana uhusiano wa karibu na aliyekuwa ex-boyfriend au girlfriend.
Wabaya sana hawa watu kwa asilimia 90% kuendeleza mawasiliano ya karibu.
Usimuamini bibi...
Tarehe kama ya leo mwezi kama huu, huyu msichana alitukana na kuapia Miungu yote kuwa hatujui na wala hajawahi kutuona maishani mwake(msichana huyu alikuwa mpenzi wa rafiki yangu).
Wacha jamaa...
Wakati wewe uko busy kusaka demu mwenye TRUE LOVE, huyo mwenye True Love na yeye yuko bize kusaka mwanaume mwenye TRUE MONEY.
Zama zimebadilika sana,zile biashara za Kusaka True Love ukiwa Kapuku...
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo...
Ulaji wa supu ya pweza,karanga mbichi,mihogo mibichi na mbata kwa madai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano...
Hii kitu huwa inatokea wandugu,lakini ushawahi kupata picha ikikutokea wewe?
Imagine watu mnapanga maisha mnaitisha vikao vya harusi mwisho wa siku mnafika kanisani mchungaji anauliza je Lala1...
Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia kwenye ndoa, aliyeserious tu ndye atakayejibiwa.
awe na sifa zifuatazo; mwenye umri kuanzia 24 mpaka 32. awe na elimu angalau ya sekondari. aliyeajiliwa...
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
1. Mwizi/ mdokozi.
2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
3. Group ya marafiki watatu...
Hapo Palikuwa Wasichana Wawili Walikuwa Wakiishi Na Wazee ,Mama, Baba, Jana Lake Asha Na Rose. Siku Moja Wakiwa Wakitoka Mjini Kwenda Walikutana Na Mkaka Mmoja Aitwae Salumu, Wewe
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.
Takribani wanawake 1500 hufariki dunia kila mwaka kutokana na utoaji mimba usio salama nchini huku asilimia kubwa ikiwa ni vijana.
Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania Ulla Muller alisema mbali na...
Sijui tuite nini, ila kiufupi tangu nivunje ungo nimekuwa nikibahatika kukutana kimwili na wanaume malaya, na mpaka hivi sasa sitaki kusikia habari za wanaume waliotulia.
Endapo ukanitongoza, na...