Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana Jamiiforums. Ni muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi inakuwaje hawa akina dada wanakuwa na tabia ya kuwaganda waume za watu kama kupe ilihali wanajua kabisa hakuna ndoa zaidi ya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Si kingine bali ni wivu, wivu mkali wa kupindukia. Wivu huwakilisha kijitabia cha kutojiamini ktk mambo yako. Nimeshaona au kusikia watu wengi wake kwa waume wenye tatizo la kutojiamini au...
2 Reactions
131 Replies
12K Views
Habari zenu jamani, mimi ni mgeni kidogo humu, sina muda sana. Nilikuwa napitia tu maongezi na comment za watu na nikavutiwa kujiunga, anyway turudi kwenye point ilionileta hapa. Nlikua nina...
1 Reactions
94 Replies
12K Views
Katika vitu nisivyovipenda ni matumizi ya kifaa hiki DNA. Sababu za kutotaka matumizi hayani 1. Sitaki kuaribu family kwa watoto wangu wapendwa waliozaliwa ndani ya ndoa. Mwanamke kama kiumbe...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuna mwenzio nae nasubili aage lakini naona kauchuna tu.. Salam zimfikie kokote aliko.
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hata sijawahi kusikia
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi, kazi, sura ya kiume nk, tunasahau kabisa kigezo cha uzuri/Uhandsome matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu wenye mushkeli kidogo and...
1 Reactions
112 Replies
9K Views
Nimejaribu kufuatilia mwanamke mmoja mtaani hadi humu Jamiiforums, nimegundua asilimia iliyokubwa ya mawazo ya wanawake yanatawaliwa na mapenzi. Katika ugunduzi wangu nikaabatanisha na sababu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nipo Arusha aliye tayari animeet PM for more contact
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huwa napandwa na hasira nikisikia eti fulani kaiba mume/mke wa fulani. Unakuta kama ni bibie anakusanya shoga zake kadhaa waenda kufumania na kwenda kumtia adabu vilivyo "mwizi" huyo. Kama ni...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Ukianza kukaa na kuanza kufikiri maneno ya watu yasiyona na maana ni kujipunguzia muda wako wa kuishi tu! Kwa sababu, haiwezekani hata siku moja; nasema "HAIWEZAKANI!"... Kupendwa na kukubalika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kukaa kipindi fulani bila kufanya ngono? Mfano mimi familia yangu, baada ya mama kuja ughaibuni baba akavuta mke wazee wakadai ni makosa yake mama, baba asingeweza kukaa peke yake na...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Nilisikia kwenye kituo kimoja cha redio kuwa wanaume wengi wanavutiwa na wanawake wenye nyonga(hips) pana kwakuwa scientifically wanawake wenye nyonga pana hujifungua kirahisi zaidi. Mtangazaji...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Natafuta Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Wadada mbona hampendi kutoa ushirikiano kwenye research ziazohusu kujamiiana? (love making) Kwa mfano, ukitaka kujua idadi ya changudoa wanaotumia jamiiforums hakuna mtu atakubali kushiriki kwenye...
1 Reactions
89 Replies
13K Views
Wanajukwaa habari za weekend. Kila kijana aliye kwenye ndoa analalamika kuhusu mwenza wake kumtenda. Wazee wetu walikuwa wanaishi miaka kibao bila kusikia manung'uniko yoyote.mpaka sisi ambao...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Ukianza kukaa na kuanza kufikiri maneno ya watu yasiyona na maana ni kujipunguzia muda wako wa kuishi tu!Kwa sababu, haiwezekani hata siku moja; nasema "HAIWEZAKANI!"... Kupendwa na kukubalika na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi, i am a single boy aged 30 looking for fiancee. She must be under 30yrs. Christian and truely. ready for checkup. I Am currently in Arusha but living in Dar es salaam.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi everybody, natafuta Mwanamke ambaye tunaweza komaza mahusiano, umri 20 to 27 mm ni mkazi wa hapa tanzania for more than 12yrs sasa. origated from Tw. Unaweza PM. Asante
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…