Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam kwenu wana jamvi. Mtanivumilia kwa urefu wa habari hii. Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae alikua na mtoto mmoja, huku nami nilikuwa na watoto wawili (mapacha). Wakati wote wa...
2 Reactions
144 Replies
13K Views
Mimi nina mahusiano na binti mmoja kwa sasa mahusiano yetu yamefikia miaka mitatu. Lakini cha kushangaza kila ninapokutana naye lazima nitoke machozi, yaani lazima atapigiwa simu ambazo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke lakini huu msemo siuelewi kabisaa! Nawauliza wanaume jamani hivi nyie mnauelewaje hasa pale mpenzi wako anapokuita Beby! beby!Naombeni mniambie mwenzenu. Karibuni wakuu
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimelelewa katika familia ya kumcha Mungu. Sijawahi kumuona baba, mama, bibi, babu, au mjomba akienda kwa mganga. Ila dunia ilinifikisha na kunifundisha kwenda kwa mganga. Katika kukabiliana na...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
lm a Tanzania guy ,aged 29 years,interested to get a girl from kenya with the following qualities ,educated,good looking,nice shape with a big booty,the one who will be ready to live in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hodi hodi humu wanawane... hakuna cku niliyowahi pata furaha kama jana i mean 21st Nov baada ya mke wangu kujifungua salama mtoto wa kiume tuliyempa jina la Sean kwenye Hospital baab kubwa ya...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwetu tunaamini mchawi aliyekubuhu, ni yule aliyeuwa watu wengi zaidi. Au hata ukimuona dereva anakimbiza gari barabarani unaamini ana uzoefu wa udereva wa mda mrefu na atakuwa ameshawahi...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Mimi nina mke na mtoto mmoja, kwa bahati mbaya mke wangu anaishi mbali na mimi mikoa tofauti, tunaishi hivyo kwa kuwa yeye ni mwajiriwa wa serikali na mimi ni mfanyabiashara. Hivyo bado hajapata...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Msijifanye mko busy kivilee, hebu wapeni likizo hata ya mwezi tu hao wafanyakazi wenu wa ndani ili mjifunze kulea watoto wenu wenyewe. Ipo siku mwanao atafanywa kama yule mjukuu wa shetani...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Kuwa MME au MKE ni karama toka kwa Mwenyezi Mungu na binadamu huzaliwa nayo hivo kama huna hata ukatumia gharama kubwa mno katika sherehe ya ndoa yako, ndoa hiyo haitadumu.
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Tafiti zilizofanywa hv karibuni ambapo nilikuwa nawaliza wanawake mmoja mmoja zimeonyesha kwamba Wanawake wengi ambao wako kwenye ndoa wamesema ya kwamba Waume zao wakati wa tendo la ndoa huwa...
1 Reactions
88 Replies
19K Views
Hivi ni kwa nini Mwanaume akishikwa au kuguswa makalio yake hata kwa bahati mbaya tu, au huwa Mkali sana na wakati mwingine huleta ugomvi? Nimeshaona kitaa Watu wakirushiana ngumi mpak kutoana...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mke wangu wa miaka 5, watoto 3 moja alikuja nae juzi kati kaniumiza sana kidogo ningepoteza jicho. Alingia kwenye facebook yangu akasoma message zote zingine za nyuma kabla sijaanza kuishi nae...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza sana hili swali na sijafanikiwa kupata majibu. Inawezekana jibu lipo lakini sijalijua tu. Wanawake ambao wanajiuza wana majina yao,kama mahakaba,wauzaji,n.k. Wanawake ambao...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani mimi nina tatizo moja sielewi ni nini yaani mdada mmoja awe rafiki yangu au demu wangu akiniomba hela basi ujue siku hio akina dada watano au hata watatu wataniomba hela na siku inayo fuata...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Naitwa jayff nina miaka 21.nahitaji mpenzi wakike awe muaminifu.awe na miaka 18-22 .mengii zaid utanipata hapa 0758082840
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuna mchumba wangu mpaka sasa tuna mahusiano yenye umri wa miezi 5. Kaka yangu wa damu amekomaa kumchukua na kibaya jana kaniwahi kwenda kumtolea mahari(kiukweli kimapato ameniacha...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari za majukumu. Kuna tatizo watu wengi hasa watu wa dini wakiamni mungu anajishughulisha na masuala ya mahusiano hasa wanawake kuna kipindi nilihudhuria semina kanisa fulani ikafika muda wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…