Hivi huu msemo wa Baby, wanaume mnauonaje?

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Mimi ni mwanamke lakini huu msemo siuelewi kabisaa! Nawauliza wanaume jamani hivi nyie mnauelewaje hasa pale mpenzi wako anapokuita Beby! beby!Naombeni mniambie mwenzenu.
Karibuni wakuu
 
Ngoja tuwapishe wachuchu watueleze
Mimi ni mwanamke lakini huu msemo siuelewi kabisaa! Nawauliza wanaume jamani hivi nyie mnauelewaje hasa pale mpenzi wako anapokuita Beby! beby!Naombeni mniambie mwenzenu.
Karibuni wakuu
 
nauchukia vibaya sana, mambo ya kuitwa mtoto, hii ya kuiga mila ya magharibi bana hii,
 
kama huelewi maana yake ni hii hapa..

baby -->> is a person with whom one is having a romantic relationship..

kwan wewe ukiitwa baby unaonaje..
Mimi ni mwanamke lakini huu msemo siuelewi kabisaa!
 
Mimi ni mwanamke lakini huu msemo siuelewi kabisaa! Nawauliza wanaume jamani hivi nyie mnauelewaje hasa pale mpenzi wako anapokuita Beby! beby!Naombeni mniambie mwenzenu.
Karibuni wakuu

Akiniita kwenye text naonaga poaa, bt live live!! Neh boro

Napendw kuitwa mume,
 
Ushawahi liona tangazo la COFLYN ....?? Mimi nyumbani ninawatoto wawili huwa wanatumia coflyn....

Hahahaha wanaume mkiacha kufanyiwa kila kitu nyumbani kama watoto hatutawaita baby...Ila tukiendelea kuwafulia, wapikia, wavisha soksi, wapakulia, basi tutaacha kuwaita baby

nauchukia vibaya sana, mambo ya kuitwa mtoto, hii ya kuiga mila ya magharibi bana hii,
 
kama huelewi maana yake ni hii hapa..

baby -->> is a person with whom one is having a romantic relationship..

kwan wewe ukiitwa baby unaonaje..

Labda kitandani ndo napenda
 
Hahahahahahha mm najua nkishamwita tu babe n kwamba nataka mpinga mzinga na ntapewa nnachokitaka
 
Back
Top Bottom