Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wandugu Kichwa cha habari chahusika. Kale kamchezo ka-fargha mimi na shemji yenu aka wifi yenu kamepangwa kufanyika ndani ya wiki chache zijazo. Ni katika kujaribu kuongeza idadi ya watu...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Kuna vitu vimenitokea ambavyo sikupata ushirikiano wa kutosha toka kwa watu wa karibu,hivyo nahitaji kujua sifa za rafiki wa kweli? Mana nahitaji nifanye uamuzi mgumu wa mchujo wa marafiki...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Habari za saizi humu ndani Kuna watu wanatoa uzi kuomba ushauri,msaada,ya moyoni,anachoona hakipo sawa kwa upande wake nk.Sasa utakuta mtu from no where kurupu na maneno ambayo siyo mazuri kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHANIA TWAIN "Don't Be Stupid (You Know I Love You)" You're so complicated-you hang over my shoulder When I read my mail I don't appreciate it When I talk to other guys You think they're on my...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
Wajameni nina msiba mzito ila sintokuwa wazi kuficha uhalisia, maana JF inatembelewa na wengi. Kutokana na ukaribu na mtarajiwa wa huyu binti aliyefariki akiwa bado mbichi kabisa na kwakuwa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wife is like a TV & Girlfriend is like a MOBILE. At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE. Sometimes u enjoy TV, but most of the time u play with ur MOBILE. TV is free for life...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Leo kidogo, nilikuwa nimejipumzisha ndani ya chumba changu, nilichopanga uku kwa walalahoi wenzangu. Kausingizi kakanipitia kwa mbaaali! Kama unavyojuwa jinsi usingizi ulivyo mtamu kuliko kulala...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Mkila vyakula vyenye viungo sana, pia vitunguu saumu, curry, kabeji, na vyakula vyenye salfa. Hata junk food Kuto kuoga na kukisafisha vizuri kabla ya kufanya mapenzi Utumiaji wa nguo za ndani...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Kwa utafiti wangu wa siku nyingi nimegundua majirani wengi siku hizi hawaelewani ujirani unaonekana hauna maana wakati huo wanasema jirani yako ndio ndugu yako huwa najiuliza maswali mengi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku katika kulijenga taifa. Mimi nimekuwa na uhusiano na kijana mmoja mtanashati msomi kwa muda wa miaka miwili sasa. Hatujawahi onana tunawasiliana kwenye...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ukishazaliwa mwanamke ujue kutongozwa ni lazima. Hakuna mwanamke asiyetongozwa. Kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake kutoa majibu ya matusi pindi wanapotongozwa , mtu anakupa jibu ambalo...
4 Reactions
118 Replies
23K Views
Najua wengi mtakuwa nmeshalala, Poleni na utafutaji wa riziki siku nzima.. wana MMU naomba nijue umri sahihi wa msichana kuweza kufunga ndoa. Matani mpelekee Mister bean. Kejeli, dharau na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Iam a Graduated Man Aged 27-30yrs,I Live at Dsm,christian,I Do not have achild,iam not Drunker man Of Alcohol And Smoker,already Being Employed.A Women I Want amiability,white Brown,honest,true...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Anayefanya kazi mkoani, aliye serious anipm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wanaopenda club hili wanalifahamu. Kama una mkwanja wa mawazo na sio escrow, ukiwa club na ukaona demu wako anacheza na mshikaji unakuwa na hofu kweli. Kwamba labda atabebwa. Lakini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Dear Jf members as I said above I need the girlfriend who will be with me. If you are ready just find me On PM. That's all for the moment. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
799 Views
ukweli ni kwamba nina miaka 25 lakini cjawah kupata mwanamke zaidi ya kujisingizia tu kwamba yule ni demu wangu lakin c kweli watu mtaani waniona mjanja na wanawake wananiheshimu sana kwa kujua...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Kujifunza, kuelewa na kufuata ni kitu kizuri kwa mtu mwenye hulka ya kupanua mawazo yake. Hakuna aliyekamilika, Kila thiku watu wanakothea. Hakuna mtaalamu wa kudumu wa mapenzi. Kwenye mapenzi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kibongo bongo unaambiwa Mapenzi Pesa mengine tutavumiliana.......in other parts of the World 3 Important things in a potential life partner are,.....smile, grammar and confidence (leo nacheekwa)...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…