Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani mimi sio Mwanasayansi ila ni mtafiti wa kienyeji kuhusu mapenzi.nimegundu kwamba sababu ambazo zimeongeza tatizo la upungufu wa Nguvu za kiume niuvaaji wa Nguo za nusu uchi kwa wanawake...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni kwamba nina homeboy wangu ameingia hapa UK mwaka 2003, na mimi ndio nliompokea kwa kuwa nlitangulia kuingia humu miaka 5 before yeye hajafika. Mwaka 2006 maisha yalimnyookea ikabid aamue kuoa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama...
22 Reactions
492 Replies
81K Views
Habari wakuu. Jinsia yangu ni mwanaume najitokeza kutafuta rafiki wa kike ili baadae tufunge ndoa.Elimu yangu ni kidato cha nne,na Umri wa miaka 27,Dini mkristo,Kazi nimejiajiri .Nimtafutae elimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda hui wadau. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu mwaka 2012. Kuna binti nimempenda,muadilifu,mchaMungu na anakila sifa ambazo mimi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mpenzi wangu leo nimeona nitoe Siri yangu niliachana na mpenzi wangu wa zamani (Boyfriend )ukweli mimi na mpenzi wangu wa zamani tulipendana sana tena sana, alinionyesha upendo kama wewe, ukweli...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Siku za hivi karibuni nilipokea ujumbe mfupi wa Simu wenye vituko vya mahaba namba ni ngeni nilipojaribu kupiga nijue ni nani nilisikia sauti ya kike ngeni masikioni mwangu lakini yeye alidai...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Emotional security is one aspect that women and men want in Relationships (a man's perspective) Love, acceptance, respect, to be desired, security, passion, are all things a woman may want in her...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za JF, Ni mara ya pili nakuja kutafuta mke wa kuoa hapa jf.Vigezo vyangu ni vilevile Nawasilisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yeyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanaume you can find that you are trying so hard to fit in, be the ladies man, be the man that watu wana mu envy...
5 Reactions
44 Replies
8K Views
Ni hivi katika jinsia hizi mbili nani anatekwaga kiakilia mfano kama vile mwanamke, utakuta ana mumewe au mchumba wake lakini utakuta anamsaliti mumewe au mchumba kwa kukukolea mapenzi ya mtu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitu nime experience kwa rafiki yangu mmoja alimtambulisha mchumba wake wiki ilyopita Nyumbani kwao sasa mama mdogo dada zake wameanza maneno ya kila mtu anasema lake Jumapili nilikuwa pale kwao...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Damn! Wanawake wazuri. Mara lara 1 anatoa mada ndefu kuhusu namna ya kupata na kuwamiliki wanawake wazuri warembo. Mbona uzuri ama urembo wao haushabihiani na uzuri wa pauchi zao? Sasa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Vyuoni, mashuleni na kwenye mitandao ya kijamii hata hapa JamiiForums lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasoro kwani tumewakosea nini mbona wanawake hatuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli...
5 Reactions
130 Replies
11K Views
I'll not Marry because my Friends are getting Married, not because I am becoming older, not because I am of Age, not because I want sex, not because I will loose somebody, not because of Family...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Yeyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Watu wangu wa ukweli, watu wangu wa nguvu HAPPY NEW YEAR kabla ya yote. Sasa nimeona Leo nianze mwaka kwa kutoa...
26 Reactions
108 Replies
14K Views
Nakumbuka ilikua siku ya jumatatu nilipoanza kuziona dalili za kwanza za kifo chake,Baada ya kumaliza kupika nilikua na kawaida yakupumzika sebuleni nikimsubiri atoke kazini, kila jioni muda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu brothers and sisters. Wakubwa zangu, heshima kwenu pia. Mimi ni mgeni kwenye site hii. Baada ya rafiki yangu mmoja kufanikiwa kupata mke umu JF, nami nimeamua kuja katika jukwaa hili...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa tarehe hiyo itakuwa harusi YANGU.. Mkiwa kama wanafamilia wenzangu.nawakaribisheni sana cku hiyo. Ndoa itafungwa ktk kanisa la NEW TESTAMENT MINISTRY. Na baadaye...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
With Safety and Health Risks, whats wrong with this photo?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…