Chozy
Senior Member
- Aug 22, 2012
- 172
- 47
Siku za hivi karibuni nilipokea ujumbe mfupi wa Simu wenye vituko vya mahaba namba ni ngeni nilipojaribu kupiga nijue ni nani nilisikia sauti ya kike ngeni masikioni mwangu lakini yeye alidai namba yake mimi ninayo, niliamua kukata na kuitrace Tigo pesa na kubaini namba ya mpenzi wangu wa zamani lakini mtumiaji mwingine.
Nikapiga tena kujua zaidi sikupata ushiriano lakini Siku chache kabla kuna msichana alikuwa akinitumia massege za mapenzi na mimi nikamuungia ili nimdonoe kidogo sababu kajisajili mwenyewe nikafanya mpango tuonane na mapenzi mapya yameanzia hapo. Sasa kilichotokea akahoji mimi kumfahamu mwenye ile namba yaani mpenzi wangu wa zamani nikamjibu kuwa alikuwa mpenzi wangu wa zamani; Ndipo akanipa kisa cha yeye kunipata mimi na kumiliki ile laini.
Kisa kiko hivi yule mpenzi wangu wa zamani alikuwa club na wenzie wakapata mabwana yeye na wake wakaenda geto kwa mshikaji sasa yule mshaji ana mke alisafiri muda uleule kama Saa nane usiku jamaa alijihami kuingiza huyo changu ( mpenzi wanguwa zamani) geto baada ya kufika pale waliingia ndani ndipo akukumbwa na mkasa wa kuchezea vitasa akichangiwa na majirani wengine alipopata upenyo alikimbia na kuacha vitu vyake Pochi ikiwa na Simu, Nguo za kubadili maana yupo kazini hivyo vitu vilihifaziwa na huyu msichana ndipo alipoanza kukagua simu na kupendezewa na jina langu akijifanya kakosea kumbe anajua alichofanya.
Nimemuomba vile vitu nimempelekea muhusika anadai eti alikabwa na vibaka huku akishangaa nimevipataje wakati mimi na yeye tumepoteana muda.