Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu no reform no.... Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana...
15 Reactions
112 Replies
5K Views
Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
2 Reactions
13 Replies
748 Views
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo. Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu. Yeye mwenyewe kachukua simu...
24 Reactions
141 Replies
6K Views
Habari wakuu!! Kuna hizi Ndoto mbili za jinsia zote ni ipi kati ya:- Ndoto ya Kila ya mwanamke ni kuolewa na mwanaume mwenye Hela Na ndoto ya Kila mwanaume kuoa Mwanamke Bikira. Je ni ipi Ndoto...
0 Reactions
10 Replies
842 Views
Maneno "life begins at 40" yana maana kuwa mtu akifika umri wa miaka 40, maisha yanakuwa bora zaidi, labda kwa sababu tayari mtu keshapata skills, experiences na namna bora ya kuyafurahia maisha...
81 Reactions
326 Replies
19K Views
Katika dunia hii kila kitu unachokiona kimefungamanishwa na muda ...muda ndiyo unaamua kipi kitokee na wakati gani .....wanasema ukiweza kuuthibiti muda basi unathibiti uzee na kifo kwa maana...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Back in 1994, Gabriel met Christina at a party and they really hit it off. They ended up getting married even though she was 30 years younger than him. They were happily married for 20 years...
3 Reactions
4 Replies
914 Views
Moja ya zana muhimu sana katika uzinzi,uasherati na uchepukaji ni SIMU. Sahau kuhusu kufuta sms,kusave majina kwa msimbo,kuwa na secret gallery,kutopiga picha na other illegal half,kubadilisha...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi...
4 Reactions
4 Replies
557 Views
Katika hali isiyo ya kawaida amq kutokana na kukosa uzoefu, hofu, wasiwasi, kutofanya mazoezi, punyeto, msongo wa mawazo, lishe duni, kurithi na mengineyo mwanaume anaweza kukumbwa na tatizo la...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Hasara au Kupoteza. Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi. Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake...
39 Reactions
392 Replies
41K Views
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
9 Reactions
91 Replies
6K Views
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub. Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani...
8 Reactions
197 Replies
10K Views
Hivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana...
3 Reactions
6 Replies
457 Views
Fikiria mtoto mzuri anajipoat, anafollowers kibao, hajaona picha yangu, na hajaomba ila anajibu text zangu kwa haraka na amekubari kukutana na mimi. Najiuliza huyu atakua wakawaida kweli? Mana...
5 Reactions
3 Replies
411 Views
Hello jamiiforums Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana! Fanya haya ili kukuza...
10 Reactions
15 Replies
840 Views
Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria...
22 Reactions
132 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…