Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

tanzania yetu
0 Reactions
0 Replies
701 Views
tanzania yetuuuu
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Madonna:Nawapenda vijana wadogo Msanii wa nyimbo za Pop Madonna aliyesifika kwa wimbo wake 'material girl' na ambaye amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji densi Brahim Zaibat ambaye...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Naitwa jaffer chiba ni mwanachuo ktk chuo wa ualimu ninahitaji mpenzi wa kuwa nae awe na umri wa miaka 18 mpaka 22 akiwa tayari utanipata 0758082840. Thanx
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nina rafiki angu anapata mashaka ya kufunga ndoa na mchumba wake, yeye (rafiki yangu amezaliwa 1982 na mchumba wake amezaliwa 1994, Je ni sahihi afunge nae ndoa au la.Hofu yake ni kuwa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kweli kusoma chuo kimoja na either mke wako or mkeo wa ndoa tena wote mkiwa darasa moja na kozi hiyo hiyo ni sahihi haswa kwa ustawi wa huo uhusiano wenu.Kama ni sahihi vipi mazingira haya tata...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau hapa juzi kati nilileta habari iliyokuwa inamuelezea mdogo wangu aliyeamua kujipatia jiko kwa kuchumbia binti mmoja ambae mi namfahamu alikuwa anatoka na rafiki yangu na hadi ikafikia huyo...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Nilisimama kupata mchemsho pale corner bar kando ya barabara, pembeni yangu waliketi mabinti watatu wazuri, wawili wakimsemesha yule mmoja kwa sauti wakimwambia "kesho zamu yako kununua chakula na...
8 Reactions
110 Replies
12K Views
Tuliachana na mpenzi wangu miaka mitatu iliyopita,nilidumu nae kwa miaka minne,katika mahusiano yetu tulipendana sana kiukweli,ispokuwa ndugu wa upande wa mwanamke walishinikiza tuachane kwakuwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nataka girl frend wakuchat nae tu txt zitajibiwa no 0718173851
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How many people have YOU slept with? Watch couples’ excruciating reactions when finding out their partner’s ‘magic number’ Read more: Watch couples' reactions in video when finding out their...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Utamkuta msichana au mvulana anaweza kuongea sana na mvulana au msichana yeyote, hata kama hawafahamiani, je upo uhusiano wa kuongea kwake huko kunaweza kuleta wepesi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ana mke wake, usiku mmoja wakati wamelala mida ya saa saba usku akaota anaona wachawi wanaingia chumbani mmoja kapanda fisi wengine kama watatu wanatembea. Mara akaanza pambana...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi Utamkuta mpenzi anamringia mpenzi wake hadi inakuwa kero sasa, Je maringo ni mbinu katika mahusiano yanafaa kuvumiliwa au kusitisha ili kuepusha kuchukizana. Karibu katika...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
Mimi nikijana mwenye miaka 22 ninatafuta mchumba wa kunipenda kwa dhati nasiyo kuniumiza namba yangu ni 0757042257
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Heshima kwenu wana MMU. Nilipokuwa na miaka kati ya 15-18 nilikuwa najiuliza sana kwanini watu wanaachana ikiwa wanapendana, niliwaza sana mpaka nikawa natamani nipate mtu alijibu swali...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Amani kwenu wadau wa MMU Nilikua nimejipumzisha zangu gheto leo jioni mida kama ya saa12 hivi mara nasikia grrrrrrrrrrrrrr!..simu inaita.Kuichungulia kumbe ni demu wangu mmoja nilimgegedua...
4 Reactions
118 Replies
13K Views
Dalili ya mwanaume ambaye yuko fit kwenye mechi ni mkali na hana mchezo pale mke wake anapokosea kwa sababu anajiamini, hii ni kauli ya wanawake sio chini ya 10 nilioweza kuongea nao kwa nyakati...
7 Reactions
72 Replies
10K Views
Hivi ndugu zangu/wanaume wenzangu hii kauli na nyie mnaipata mara kwa mara.Hii kauli huwa inaniboa kama sio kunikera pindi niisikiapo wakati huo nina kiu kwa mpenzi wangu. Hivi katika kupeana...
4 Reactions
51 Replies
11K Views
Habari zenu wanaMMU. Je kuna ukweli kwamba picha na filamu za kugegedana zina mchango mkubwa katika kukuza na kuendeleza mahusiano mkiwa faragha na mpenzi/mwanandoa wako.
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…