Kwa nini ndoa nyingi za siku hizi huvunjika mapema mno?Mbona wazee wetu waliishi na changamoto zao bila kuachana? Naomba kujua nini kifanyike ili kufanya ndoa zidumu kama za wazee wetu.
Jamii ya...
Wadau hivi kuna tatizo pale mvulana anapokuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri? Yaani mwanamke akiwa mkubwa kuliko mwnaume kwa miaka kadhaa.
Au kufunga ndoa au kuishi na...
Habari zenu wanajamvi,
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya ambao sio rasmi nimegundua kwamba wanawake kwa wanawake hawapendani tofauti na ilivyo kwa jinsia ya kiume.
Wapo wanawake ambao...
Kama wenyewe wanavyojiita kichwa cha nyumba mwanaume kabla ya kuoa kuna mambo muhimu ya kujipima kabla ya kukurupuka kusema anaoa.
Wanawake siku hizi siyo kama wa zamani ambapo wanachojali ni...
Nina mpenzi wangu na nipo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi,tatizo ni kwamba mpenzi wangu anatoka maji ukeni, hivyo najikuta natumia nguvu nyingi kupata goli moja hivyo hunifanya nikose hamu ya...
Igweeee!!
Wanaume mtanisamehe bure ila wengi wenu in your 30s kushuka chini ni lege lege mnooo. Mnanitia aibuuuu. Hiki kizazi hiki cha wazazi wafanya kazi kimeleta kizaa zaa, toto la kiume...
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa,ila kusema ukweli huyu kaka sina hisia naye kabisa.Hivi hii hali ya kutokuwa na hisia na mtu inasababishwa na nini? Naomba wanasaikolojia mniambie...
Habarini wana JF,
Leo nina swali nimekuwa nikiwaona vijana, watu wazima wakiwa na hiyo staili ya kuvaa pete hawajaoa/ hawajaolewa na hawana hata mtoto wa kusingiziwa, je wapo kundi lipi? Je...
Story ilianza pale ambapo mwanaume aliulizwa na mkewe kama ni kweli ana uhusiano na mwanamke mwingine nje, mwanaume huyo akakataa, akadai eti ni story za uongo ambazo watu wamezusha.
Emily Nyondo...
Habar zenu wana Jf,
Naamini mko salama na wengi sasa mshalala,
Mimi ni mgeni wa kuleta uzi humu ndani kwani huwa nasomaga tu.Kiukwel mim nilikuwa na mtu wangu kama mwaka hivi na tulishindwana...
Wakuu salama
Kuna ukweli watu hatutaki kuusema, ndoa bila kuwa na watoto sio ndoa hiyo. Watu wanahangaika usiku na mchana kutafuta watoto ili tu kunusuru ndoa isivunjike.
Wanaume na wanawake ni...
[SIZE=3]Amicus Curiae is finally back.
Awali ya yote natumaini hamjambo.
Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze...
Siku za nyuma niliwahi kukorofishana na mpenzi wangu, kwa tabia ambazo zilichukiwa mimi na mpenzi wangu, lakini hata hivyo haukupita mda baada ya mimi kusikia nimepata mwanamke mwingine akaja...
Kuna dada mmoja nilikuwa napiga kisela. Huyu msichana wangu ana mdogo wake mzuri sana. Kuna siku msichana wangu aliniambia ametoa mimba yangu nikakasirika sana baadae nikamuuliza anataka nini ili...
Habari wana jamvi la MMU,
Mimi huwa ni msomaji tu lakini leo naja kwenu nipate mawazo yenu. I was in a serious relationship for about three years na mtu niliyekuwa nikimpenda sanaaaa.
I was so...
Kabla sijatupia nondo, naamini sote twafahamu umuhimu wa kulijua eneo la tukio linalopandisha munkari wakati wa tendo la ndoa, swali gumu huenda liwe.
Unalijuaje eneo hilo?
Ni sahihi...
Natumai ni wazima wa afya.
Naomba wana Jamii forums wenzangu tusaidiane kujadili hili, naamini kuwa suala la kuoa ama kuolewa si lazima sana japo ni muhimu kwa mwanadamu yeyote aliye kamilika...