Wajameni leo nimegundua my wife yuko humu Jamii Forums tena anapenda hiki kitengo cha MMU. Sasa nitakosa uhuru wa kuchangia.
Sijajua how long yuko humu but nimeshtuka sana,najaribu kujua ID...
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko...
Msiniulize maswali, nimeidaka sehemu
1. You will become a liar
It's bad enough to bear the title of "Cheater," but if you cheat, you will also wear the hat of "Liar." Cheating cannot occur...
Nawasalimia wana JF wote wazima,
Leo ninapenda kuongelea nguvu tuliyo nayo ndani yetu jinsi inavyo weza kufanya maajabu. Wengi wetu tunajua au tumefundishwa kuwa binadamu au watu tuko katika...
Wakuu,
Hali imekua tete kwa baadhi ya ndoa wiki iliyopita nilikua safarini. I met this young woman kumtazama kwa haraka you can not notice kua kaolewa ukicheki kwenye vidole hamna kitu.
Basi...
Unaposema unampenda mtu ni rahisi ukawa unakosea ingawa wanaume wengi hatutofautishi wakati wa mazungumzo juu ya kupenda na kutamani ingawa ukweli tunaujua,huwezi kukutana na mtu siku mbili tatu...
She was the most beautiful thing ever happened to me. Sadly we parted our ways. You know when? let me tell you we parted our ways when my first article was published.
Couldn't even told her baby...
Habari zenu wakuu, naamini mko salama na ujenzi wa Taifa.
Nisipoteze muda niseme kile kipo kwa moyo wangu.
Nina mchumba ambaye nipo nae kwa miaka mingi kidogo,kaka huyu nilishawahi kuomba...
Habarini,
Sina mwanamke nampenda sana juzi tuko katika chat whatsap sio kanitumia picha zake zilizokatazwa sheria mpya sasa sijui anajiaminije. Je huo ni upendo wa kweli? Ni kweli ananitumia...
Kwa mfano mmelala baadae kwenye saa nane au saa saba ukaamka na ugwadu ni haki kumuamsha mpenzio wa kike au wa kiume ili kushiriki nae ana usingizi mzito na asubuhi anawahi kazini ni busara hii...
Helow friends,
Sio mimi nimeagizwa kuwasilisha.
Mimi ni mwanaume katika pitapita za maisha nimekutana na dada mmoja tumependana sana dada mwenyewe ni mzuri kila idara.
Na ninampenda yeye pia...
Nexttttt....
Amani na upendo kwenu wana bodi humu ndani....
Direct kwa yalio ni fanya ni log in humu ndani...
Moyo wa mwanamke hutekwa na mwanaume kutokana na a} pesa... B} shughuli ya...
Rejea kichwa cha somo hapo juu
Wakuu nimedumu kweñye ndoa kwa miaka 11 sasa,
Hivi karibuni mchepuko wangu Wa miaka mingi unataka nimuache wife ili niuchukue wenyewe kulingana na mkataba usio...
Iko hivi tulibishana sana kazini kuna watu wanasema wanaume wanaongoza kwenda kwa waganga tofauti na wanawake kutokana na utafutaj wa mali kama madini nk
Wengine wanasema mwanamke ndo bingwa kwa...
Nina rafiki yangu ambaye ni "married but single" yaani kaolewa lakini anaishi mbali na mumewe mikoa tofauti na wanaweza wasionane hata mwezi au miezi.
Sasa kanifuata ananiambia yani huwa...
Wednesday, April 21, 2010
AINA ZA KUCHEPUKA (cheating)
Kama wanandoa wapo katika kufanya matengenezo ya damage iliyofanywa na mwanandoa mmoja kuchepuka basi ni muhimu kufahamu kitu ambacho...
Habari wana jamvi,
Nimekuwa katika mahusiano na wakati mwingine mitafaruku ya hapa na pale haiku epukika.Tumekoseana na kusuluhishana, ila hili nineshindwa.
Nilimkosea kama binadamu na hata...