Acheni ULAFA mtakuja kuoa na kuolewa na watu tofauti afu muwe mnatamaniana huku bado mnapendana na kuwatesa hao watu wenu wapyaaa.
Kama dramaza kuachana take it from me, mimi hivi unavoniaona kuna mtu niliachana nae, nilimchambaaaaaaa, nilimnyeaa, sikwambie mtu, yaaani sijawahi kufanya fujo kama ile. Looo! Looo! Usisikie kabisaaa. Baadae sasa hasira zimepoa nikajikuta nampenda ila kwa jinsi nilivomharishia siku dhubutuuu kumpigia. Tulikaa miaka 2, hakuna simu,wala sms, tukikuana barabarani tunapishana, kwenye sherehe kama hatujuaniii. Basi ikatokea tu siku akaanza kunipigia, nikapokea tukaongea kinafki nafki tukarudiana. UNAFKI UNASAIDIA MDA MWINGINE KAKA ANGU ACHA KABISAA. Hatukuliongelea tenaaa hilo tukio.
Kaa ukjiua ukiishi na mtu hakukosei huyo ni MNAFIKI na anakupanga tuu. YULE ANAEKUCHAMBA MNOOOO NDO ANAKUPENDA KWELI COZ AMEUIAAA MNOOO, YOTE HIO KUKUPENDAAA,ndo unatakiwa umsamehe fasta fasta. Mnapoteza ujana kukumbusha yaliyopita. YAKALE HAYANUKI KAKA. Eeeeeh.
The past is just astory we tell ourselves
Mi nakwambiaje SUCK IT UP, tell he you want her back and you wont regret it. Ofcourse lazima akatae mwanzoni kwa tukio lile ulitegea nini? :lol:. In the longrun atakubali mwenyeweee. Usiache ukio moja la zamani likufikishe uzeeni ukiwaza WHAT IF.