Baadhi ya wanawake wanasafiri bila pete za ndoa

Baadhi ya wanawake wanasafiri bila pete za ndoa

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Wakuu,

Hali imekua tete kwa baadhi ya ndoa wiki iliyopita nilikua safarini. I met this young woman kumtazama kwa haraka you can not notice kua kaolewa ukicheki kwenye vidole hamna kitu.

Basi katika stori za hapa na pale akawa anamlalamikia mama mkwe wake anadai hampi amani kabisa, na mumewe anamsapoti mama yake.

Kuja kuhakikisha baadae kaweka pete ya ndoa kwenye pochi yake.That means akitoka home anaivua akiwa anarudi anaivaa.

Wakuu kuweni makini na ndoa amani nyumbani ni muhimu amani ikipotea wake wanasafiri bila pete na wanatumika.
 
Hizo zinaitwa ndoa za PRIVATE, wenye pete ndo PUBLIC
 
Mkuu Inategemea na Culture sio watanzania woote wana culture ya kuvaa mipete, especially mikoani huko, vile vile pete isiwe askari wa kuchunga mtu kujiheshimu
 
BADILI kichwa cha Habari! Sema mwanamke wangu au baadhi ya wanawake!
 
Pete ya ndoa siku iz ata ikiwa mkononi unatongozwa tuu......so mimi binafsi siez kuvua na kama ni kuchepuka ni kama kawaidaaa
 
Watu wanatongozana huku wakiwa wamevaa pete za ndoa kwa hiyo kuvaa pete sio sababu
ya kutotumika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom