Wakuu,
Sijawahi kuwa mzinzi tangu nimeoa miaka 5 iliyopita. Hadi hivi karibuni nilipoanzisha uhusiano na binti mmoja..
Tulifahamiana kikazi, yeye yupo idara ya uhasibu. Huja kazini kwangu kila...
Mpo wazima humu,
Sipo powa sana na humu but leo its like sina cha kufanya, sijielewi, ninayemuwaza yupo mbali na sijui kama aniwaza pia
ni miezi kama 3 since niachane na mpenzi wangu sure...
Ninae mpenzi wangu kwa kifupi tunapendana yeye yuko chuoni anasomea Nursing ila nilitamani tufunge ndoa baada ya yeye kumaliza masomo yake alafu mimi niende nikajiongeze.
Sasa naomba ushauri...
Kwa mila na destuti za Kichagga, bibi wa bwana harusi haruhusiwi kuhudhuria harusi ya mjukuu wake. Hii Tabia imeleta mgogoro kwenye familia moja hapa Moshi baada ya bibi mmoja kulazimisha...
Habari wanajamvi wenzangu,
Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ningependa ku "share" na na nyinyi katika jukwaa hili la Mapenzi na Mahusiano.
Kitu chenyewe ni kipindi cha...
Habari zenu wana JF,
Leo nimeamua kuleta thread kwa haka katabia kangu kanakotaka kunizoea. Mimi nina mchumba ambaye anakaa kwao lakini mara moja moja walau kwa mwezi mara sita lazima ajiibe aje...
Asubuhi hii nimeamka na masikitiko makubwa sana.
Jana nilikuwa sehemu fulani ghafla nikamuona mkaka mwili wa mazoezi sura sio ngumu kivile kiufipi yupo vizuri. Dooh nilishangaa baada ya...
Habari zenu wakuu.
Ni muda mrefu nimetupia thread humu ila kwa hili naomba niwashirikishe. Maisha yangu yalikuwa hayana mwelekeo kabisa ila baada ya kukutana na huyu msichana kila kitu...
Natafuta mpenzi baadae awe mke mwenye umri kati ya 24-28, urefu angalau 165 cm, kabila lolote, dini Mkristo. Mwenye degree na kazi atapewa kipaumbele.
PM if your interested
Kwa Dar es salaam wapi wanachora tattoo ya muda mfupi kama zile ambazo ukitaka kuzitoa unazitoa baada ya mwaka mf na bei zao pleas nahitaj kumfurahisha babaa tattoo kiunoni.
Hizi ndoa hizi, ndoa za zamani anniversary ya ukweli ni miaka 25 na miaka 50 kwanza wengine hata hawazisherehekei. sikuhizi ukigonga miaka 10 ya ndoa unatoa hadi sadaka ya shukrani kanisani na...
Dears
Wazima?
Nimejikuta napitiwa na hili kichwani................... Is there a line to draw between infatuation and love? Mara nyingi tumekuwa tukiambiwa kuwa unachokihisi si penzi halisi...
Habari zenu wakuu,
Nimekumbuka sana barua za kiswahili zilizokuwa zikiandikwa kwa umaridadi huku zimepambwa kwa maua ya rangi mbalimbali, mfano :A S kiss::A S-heart-2:.
Sasa nataka kurudia huu...
Salaam wanabodi,
Kuna dada moja ni mke wa mtu tunafanya ofisi moja. Mara nyingi nampa lifti kwa kuwa tunakaa uelekeo moja. Kila tukiwa naye halafu akasikia naongea na wife wangu kwenye simu...
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24, nipo Dar es salaam. Natafuta msichana yeyote mzuri mwenye umri kati ya 18~24 kwa ajili ya mahusiano baadae ndoa.
Mwenye kuhitaji ani pm tupange yetu...
Haya ni baadhi ya maneno wakina dada hutumia sana kudanganya au kujikweza;
1. Una kitu rohoni halafu unajibu niko poa tu usijali. Huku umenuna balaa pengine hata usoni humtazamani unamkomoa nani...
1. Being faithful to your lover encourages your lover to be faithful to you.
2. Being faithful makes your relationship/marriage last. The quickest and easiest way to end your...
Habari wana JF,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali na mchango wa wadau wa mtandao huu na kuona busara zikitoka kwenu kusaidia wale wanaohtaji ushauri. Mimi nina langu linanikera, hili...