Habari wana Jf,
Mim ni mgeni humu lakini naamini maisha hutafutwa popote na mke hutafutwa popote ilimradi kila mtu amkubali mwenzake na kumheshimu na kumthamini katika hali yeyote ya kimaisha...
Mi huwa nawashangaa sana madada,
Nimekupeleka lunch,... nikakupeleka saluni, nikatafuta chumba ili tubenjue ile amri ya 6, wakati tunaibenjua hiyo amri, unadai eti nikufikishe kunako kilele. Mara...
Habari,
Wanawake mlioolewa waheshimuni waume zenu, sio urafiki wangu na mumeo ni ticket ya kuniachia nifanye mapenzi na wewe. Wameshafikisha watatu sasa mpaka naanza kuona kale ka msemo ka...
Habarini wana JF nawasalimu kwa jina la MMU,
Kwa wale wenzangu tuliotoka kwenye zile zama za mitongozo ya old school, unakuta unamtongoza mwanamke halafu anakwambia "nakuchukulia wewe kama mdogo...
Habari wana jamii,
Mimi ni msichana wa miaka 29 naishi Morogoro nafanya kazi katika Taasisi fulani ya fedha nina mchumba ambae tuna mahusiano huu mwaka wa tatu sasa.Tumebarikiwa kupata mtoto...
Natumaini utakuwa umzima wa afya kabisa.
Kwa wiki kama nne mfululizo tumekuwa tukiangalia juu ya tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia sababu za tatizo...
Kijana mmoja alikuwa na msichana alivyokuwa kidato cha tano, yule msichana akahama shule, alivyofika form six akapata mwingine palepale shuleni, akamaliza akaenda kwao.
Wote wawili akiendelea...
WAITING FOREVER
If you ask me, there's a moment in my life when I was so helpless,
just helpless with a little hope and trust in my heart,
And here I go, and then something happens...
Wakuu,
Huyu binti sijamvalisha hata pete ya uchumba, ingawa tumedumu muda mrefu kidogo, ila siku za hivi karibuni ameacha kuniita ''honey'' na ameanza kuniita eti mume wake.
Hii ni sahihi kweli...
1. My son, if you keep spending on a woman and she never asked you if you're saving or investing, and she keeps enjoying the attention, don't marry her.
2. My son, a woman could be a good wife to...
Habari wana wa MMU,
Ndugu zangu usije ukampenda mtu kwenye picha kwa maana picha hudanganya sana.Baada ya kujuana na mrembo mmoja kupitia FB nami nikagharamika kumfuata kwao mkoa wa Arusha...
Habari kwenu,
Huenda kuna wengine wamechepuka kwa bahati mbaya na wengine kwa kunuwia,Wengine wamechepuka mara baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa muda mrefu, wengine wanachepuka kwa sababu...
Kwa kipindi sasa nimekuwa nikisoma mivurugano inayotokea kwenye mahusiano na jinsi wadau wanavyochangia hoja zao. Katika uchanganuzi ambazo wanaume wamekuwa wakitendwa nimekuwa nikiona wadada/...
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni...
The man and 4 Wives
There was a rich daladala owner and trader who had 4 wives. He loved the 4th wife the most and adorned her with rich robes and treated her to delicacies. He took great care of...
Wana MMU, salaam
Nilioa mwaka 1998,nikiwa huko mkoani kwetu. Wakati huo nilikuwa nafanyabiashara za mazao. Mwaka uliofuata Tar.30/08/1999tulipata mtoto wetu wa kwanza wa kiume. Baada ya kupata...