Umiss hatihati kumkosesha mchumba

Umiss hatihati kumkosesha mchumba

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,911
Reaction score
1,322
Kuna mdogo wangu (kiukoo) kanifuata Jana na kunisimulia kitu kilichomkwaza katika mahusiano yake.

Ana mahusiano na binti kwa muda wa miezi 9 sasa. Binafsi anasema kakolea na mwaka ujao alitaka afunge pingu za maisha.

Majuzi binti huyu alimletea wasifu wake na kumwomba kurekebisha, kwa maneno mengine alimpa CV yake na kumwomba ai-edit.

Wakati anaifanya hiyo kazi aligundua binti aliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania na kuwa no 2 kwenye ngazi ya mkoa.

Moyo umemnyong'onyea sana kwani binafsi anaamini mamiss wengi zaidi ya "ulimbwende" Ni wachekeshaji wa wafalme.

Hebu mwenye uzoefu au mwenye kuwajua vizuri walimbwende na makandokando yao atoe ushauri.
 
Mh'!hii nayo shughuli. Hakuna lolote apo.aoe kama ni wa kuoa.mradi wanaelewana wenyewe. Mambo ya umiss wala sioni tatizo lake...
 
Enh pengine kaaacha kujishughulisha na umisss asmhukum moja kwa moja Ana hakika gan kama Ni mchekeshaji wa mfalme Ana ushahidi???
 
Dah ivi huwa ni kawaida yao wabinti wanaogombeaga umiss lazima wagegedwe na wafalme wao??Sidhani ila mmmmmmmm hamo lolo
 
Hivi how comes una maliza hata mwezi kuwa kwenye mahusiano bila kufanya Thorough Background Check?

Ningekuwa mimi huo umiss ningeshaugundua hata kabla hatujaanza kuwa kwenye mahusiano.
 
Ngoja Ashiriki Kwenye Ngazi Ya Taifa Aibuke Mshindi.. Ndo Utajua Kweli Anakupenda Au La..
 
Kuna mdogo wangu (kiukoo) kanifuata Jana na kunisimulia kitu kilichomkwaza katika mahusiano yake.

Ana mahusiano na binti kwa muda wa miezi 9 sasa. Binafsi anasema kakolea na mwaka ujao alitaka afunge pingu za maisha.

Majuzi binti huyu alimletea wasifu wake na kumwomba kurekebisha, kwa maneno mengine alimpa CV yake na kumwomba ai-edit.

Wakati anaifanya hiyo kazi aligundua binti aliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania na kuwa no 2 kwenye ngazi ya mkoa.

Moyo umemnyong'onyea sana kwani binafsi anaamini mamiss wengi zaidi ya "ulimbwende" Ni wachekeshaji wa wafalme.

Hebu mwenye uzoefu au mwenye kuwajua vizuri walimbwende na makandokando yao atoe ushauri.

Asilimia kubwa sana wako hivyo,USIDANGANYWE, Mimi nilimpata binti wa namna hiyohiyo naye alikuwa kwenye top 3 kwenye mkoa flani hapa TZ, kwakweli alinificha mwanzoni na alikuwa msiri sana ila siku moja nikaona picha zake alizopiga kwenye hayo mashindano,ndio akaanza kunielezea kuwa alishiriki,sikumhoji sana ila nikafanya uchunguzi zaidi

Nikaja kugundua kuwa huyo binti,wale waandalizi wa mashindano walishamchezea sana,na kila mara alikuwa anamfuata mmojawapo hukohuko alikoshindanishwa,Halafu pia ni Mwongo sana. Tukaishia hapo.
 
Back
Top Bottom