Matarajio yanaumiza wengi sana ,kwa kutaraji unachotoa basi upate kama kile au zaidi ya kile ,na ndomana wengi Unapopenda basi unataraji kupendwa kwa kiasi kile au na zaidi,Ndomana inapokuja...
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo naacha rasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa hivo...
Habarini,
Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka...
Kuna uzi nimesoma leo nikakumbuka kisa kimoja. Kwenye huo uzi mtoa mada anasema kwamba kutokana na biblia kufanya mapenzi na mwanamke alie kwenye siku zake ni dhambi
Hio ikanikumbusha zamani...
Kuna Jamaa mmoja ana 42 now; aliwahi kuoa kw 20's uko ana watoto wawili na alishaachana na mke wake enzi akiwa na kipato cha kawaida tu.
Anashare watoto na ex wake ambaye kaolewa tena na uyu...
Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa...
Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious...
Wakuu, hivi vile vifuniko vya asali vyenye rangi nyeusi au nyekundu huwa vina siri gani?
Sababu utamu wa asali ni ule ule ila kifuniko chenye rangi hizo huongeza midadi kama yote
kuna ndugu yangu analalamika hana maelewano mazuri na majirani zake kisa mkewe yaani mkewe amekuwa mtu wa vituko mara kamchamba jirani huyu mara kamuona huyu katema mate mara kesi ya kutupa taka...
Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi.
Nimeamua kupita na nondo zilezile za...
Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro?
Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya...
INASEMEKANA WANAWAKE HAWAELEWEKI NA WANACHO KITAKA KWA WANAUME
Inasemekana kuwa wanawake hawajui kile wanachokitaka kutoka kwa wanaume. Ukiwa na pesa, atakuchiti kwa sababu ya muda; ukiwa na...
Wakati upo busy na Jambo fulani na wenzako wapo kukusaidia kwenye Jambo jingine
Wengine watagongwewa kwenye vitanda na masofa ya waume zao
Inaumiza Sana sema kataa ndoa uwa Wana hoja...
Can't forget about this bitch (yeah she likes me to call her that way)
She was my manager at that office and I was an entry level junior.
She used to be very strict with me at work until one day...
Mahusiano ya aina hii yapo wakuu,
Unakuta mtu unampenda dem, halafu akishajua unampenda yeye anataka kukuona unateseka kwa ajili yake, utampa zawadi utasaizia familia yao lakini akiona hauteseki...
Mnamo Septemba 2021, mwanamitindo kutoka nchini Brazil Cris Galera, alifunga ndoa na kujioa mwenyewe kwa sherehe aliyoalika ndugu jamaa na marafiki,
Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo alidai...
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona...
Kuna wanaume wengi sana hivi sasa wapo na chuki, kinyongo,wivu na hisia za kisasi dhidi ya wanawake,baadhi ya wanaume hufikia hatua mpaka kuwaita akina mama majina ya wanyama kwa sababu ya...
Aisee huyo singo maza wa kiarabu,acha kabisa,alikuwa mtamu sijapata kuona,na aliniunganisha na watu nyie acheni tu. Hebu niwapeni hii habari:
Maisha katika wilaya mmoja mkoani Tabora.
Nikiwa...