Ukipenda Penda Tu ,Ila Usitaraji kupendwa Pia.

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,522
Matarajio yanaumiza wengi sana ,kwa kutaraji unachotoa basi upate kama kile au zaidi ya kile ,na ndomana wengi Unapopenda basi unataraji kupendwa kwa kiasi kile au na zaidi,Ndomana inapokuja kinyume chake wengi wanaumia,
We penda Tu,Ikitokea umependwa pia basi huyo ndo wako na ni bahati yako,
 
N

i point du but mpende Akupendaye
 
Back
Top Bottom