Habari za mchana jamani,
Naombeni ushauri wenu,
Nina msichana wangu wa kitambo since primary, na sasa hivi kila mtu anakazi yake mzuri tu ila tupo mkoa mmoja wilaya tofauti.
Juzi...
Wakuu,
Nahitaji ushauri ninarafiki yangu ameolewa lakini amekuwa amwelewi mume wake, yaani mme wake anaamini ndugu zake kuliko mke wake, waga akisafiri funguo za gari anamwachia ndugu yake...
1. Kuchemka hadi kumwagika "The Boil Over"
Katika hali hii unaanza kuziona dalili za kuachana kwenu kwa mbali. Labda mwenzako amekuwa akifanya au kusema vitu fulani kwa muda mrefu na vimekuwa...
Bila kuwachosha wakuu.
Kila baada ya siku mbili mke wa huku anakwenda kule na wakule anakuja huku mimi nimegundua leo asubuhi. Wangapaji wenzao wanasema (they keet it as secret) mahusiano yao ni...
MKISIKIa KUNA DADA MWENYE HEKIMA NA ADABU,
ANATAFUTA NDOA,
MWAMBIENI ANITUNIE UJUMBE FASTA.
MIYE NI MFANYABIASHARA WA MAYAI YA NJIWA,
MAENEO YA BUNJU!
NIMEMALIZA!
Kuna semina ya mwalimu Mwakasege imeisha leo viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.
Jana alisema wale wanaotafuta wachumba wasimame niwaombee ,My God zaidi ya nusu ya mabinti waliokuwepo...
Wasalaam,
Nitaenda katika mada moja kwa moja. Nimekuwa katika mahusiano na single mum kwa takribani mwaka na miezi sasa ila baada ya kumaliza nae nusu mwaka nimejikuta napitia mabidiliko makubwa...
Habarini wadau,
Mimi ninakerwa sana na hawa wenzetu, kwani yamenitokea una kuta unampenda mtu kwa dhati na una nia nae nzuri tu,lakini akigundua hivo maringo yanazidi hadi kuboa, wakati swala la...
(Dayan Masinde)
1. Three dots at the end of her text
She means she enjoys talking with you and wants you to continue the conversation.
2. How was your day?
When a woman asks the man this, it...
Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.
Pia wengi huishia...
Hi, Wadau looking for a serious talkative and Charming girl of this age 18-26 reside in Dar for Partnering and Network purpose! PM your contacts and expect soon reply
Thanks in advanceI will...
Mapenzi sio Shape.
Kuna Wanawake wana Shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara.
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na...
Habari wadau,
Kwetu tulizaliwa watatu, sisi wanaume wawili na mdogo wetu wa kike, mimi na kaka yangu ni mapacha, pacha mwenzangu alifariki hivyo nimebaki mimi na mdogo wangu wa kike. Mwaka 2010...
Habari za asubuhi?
Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.
Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni...
Kweli tunatumia ID tuzijuaxo ssisi wenyewe. Hivi km mpenzio nae yumo humu halafu anakutana na uzi ambao umemtokea wrwe ndio umeuandika atajisikia vp halafu reaction itakuwaje? Nisaidieni wadau...