Wapangaji wangu wanabadilishana wenza wao

Wapangaji wangu wanabadilishana wenza wao

back town

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
471
Reaction score
365
Bila kuwachosha wakuu.

Kila baada ya siku mbili mke wa huku anakwenda kule na wakule anakuja huku mimi nimegundua leo asubuhi. Wangapaji wenzao wanasema (they keet it as secret) mahusiano yao ni (sexual,emotional,spiritual and defferent combination) when i had ask them.

Answer from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them) hadi nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? kama baba mwenye nyumba.
 
Ungeandika kiswahili ungeeleweka zaidi kuliko hiko kingereza kisichoeleweka hata kwa malkia elizabeth
 
Yanakuhusu nini?, tena wanafanya kwa siri
Btw, english nzuri=D>
 
acha wivu wewe baba mwenye nyumba, kama wanalipa kodi unakereka nini? wewe huna mke?
 
Haki ya nani nakwambia, ktk huo mbadilishano lazima kuna upande mmoja unafaidi...

Na mi kikipatikana chumba hapo mkuu nijulishe natafta.
 
peleleza inawezekana hata mke wako yupo kwenye mzunguko huo ana enjoy the difference
 
Back
Top Bottom