Hii ni kwa Wanaume wote ni malimbukeni wa Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kwa Wanaume wote ni malimbukeni wa Mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mojoki, Jul 23, 2012.

 1. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mapenzi sio Shape.

  Kuna Wanawake wana Shape kuubwa lakini wana akili ndogo kama punje ya hindi, ukimuweka ndani huyu ni hasara.

  Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani wako very smart na wana all qualities za kuwa mke na mama bora.

  Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo nyama ndo zitaendesha nyumba.

  Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya Kalio, inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio kiongozi wa Familia, inapaswa awe na akili na awe msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.

  Taifa imara hujengwa na Familia imara na bora.

  Uchaguzi ni wako na ukumbuke, Kalio huwa na tabia ya kuyumbayumba ukitembea na hivyo ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa kalio na sio akili.

  Kwa hisani ya watu wa Marekani.
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  duh, wewe ni mwanaharakati wa ndoa wa kujitolea.
  kweli ntaoa mimi? maana kila siku zinatoka point mpya, mara wazuri wa sura ni tatizo, mara kabila fulani ni hatari, mara wasomi wasumbufu, mara wanasheria wanatabu ona sasa na wenye masaburi makubwa nao kimeo.....duh warefu je??
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Maneno yako msumarr,wengi wana penda shape ohh number 8 sijui guu la bia nenda nyumbani baba yuko kazini mama yuko
  baa na shoga zake mama anarudi nyumbani anampitia mkewe baa wanarudi wote watoto wanakua wa dada nyumbani,kisa ya kuchukua mashaka yote hayo eti mwanamke analipa mzuri ukitembea nae wanasema Ojwanga ana mke mzuri loh, asara.
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa sehemu nakubaliana na wewe. Lakini mbona umetoa mfano wa Kalio tu na kuyumba yumba? Vipi na wale wanaopenda nywele? Nyumba zao zitakuwa zinaendeshwa na nywele? Na wale wanaopenda mguu wa bia? Vipi kwa wale wanaopenda nyonyo? Au nywele?

  Ila all in all, nimekuelewa kuwa ni vyema kumpenda mtu na kuchagua mke bora kutokana na tabia yake na ufahamu wake na siyo umbile lake.:israel:
   
 5. N

  Neylu JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mmmh... Naona baadhi ya wanaume sasa hivi wamebadilika.. Wanachofanya wanajishaua na hao wenye mashepu ya kufa mtu, inapokuja suala la kuoa unakuta ametulizana na Kinyago cha mpapure ndani.. Madai yao wanaogopa presha.. Sasa jamani kila mtu akiogopa wadada wazuri na wenye mashepu nani atawaoa hawa kina dada jamani kwani wapo baadhi yao wenye tabia nzuri na wanaofaa kuwa wake.
   
 6. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa neylu.tena wengi wanajiheshimu coz wanakutana na vizingiti vya kila aina.tena wanaume wengine wasio na soni anakwambia eti me naomba nizalie mtoto.me jike la mbegu?
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu.
   
 8. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole sana! kama waangalia kwa nje tu, itakuwa ngumu sana kumpata mke mwema. Ila mimi nimejifunza, Biblia inasema, mke mwema hutoka kwa Bwana (MUNGU). Mshirikishe Mungu katika utafutaji wako, utapata mke mwema!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Vijana ambao hamjaoa kuweni makini sana na hawa wadada wenye mklio makubwa wengi wanakuwa na mabwana wengi sana, si wanawatafuta ila wanaume sisi wenyewe kwa tm zetu tunajidhalilish kwa tamaa na ktoa pes nyingi kwa huyo mwanamke ili tu umpate, na si mie tu na mwingine nae atataka atatangaza dau lake, and so on and so on, mwananmke ataona hay ndo maisha km si mwangalifu atashindwa kujizuia na kuingiliwa na tamaa ya pesa thus mwanamke anakuwa spoiled tu.
   
 10. L

  Leney JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You make it seem like its either one or the other..but i am still under the impression that you can get both..mwenye shape na tabia nzuri pia. Don't be forced to settle for less due to imaginative fears, kitakachofata itakua constant cheating na kutoka nje ya ndoa, and then ultimately you will never be happy.

  Wewe muoe kwa sababu unampenda na kumjali..awe na shape au asiwe na shape, it doesn't matter as long as you two get each other, mpendwa kuna wasio na shape watakutrick into a lifetime commitment kumbe tabia zao ni worse than others..so don't use stuff like that as your deciding criteria, follow your heart, this way, it will be easier to deal with the surprises!
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umepotelea wapi rafiki...
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona umeacha hii "kuna wengine wanashape na akili pia" na kuna wengine "hawana shape na hawana akili pia" vyote vinawezekana
   
 13. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Maisha yamenifundisha vitu vingi kwenye haya mambo lakini ninachoweza kusema maisha ya ndoa na mapenzi kwa ujumla hayana formula.Sio wanawake wazuri,wenye makalio makubwa,waliosoma sana,graduates,nk na nk wana tabia hizi au zile yaani mbaya au nzuri,hizi ni tabia za watu tu ambazo ziwaza kuwa ni makuzi waliokulia,makundi ya rafiki na jamaa wanao/waliohusiana nao huko walikopitia lakini pia koo walizotoka.Nasema koo walizotoka ni kwa sababu hata baba na babu zetu huko nyuma walizikwepa baadhi ya koo kwa sababu walizijua kuhusiana na tabia mabaya au ugumba hata magonjwa mabaya.
  Kibaya ambacho kinaweza kuwa kinachangia kwa kiasi chake katika matatizo yetu kwenye hizi ndoa zetu ni huku kukutana KIMJINI MJINI.Mtu hujui background yake,hujui familia/ukoo anaotoka isitoshe wengine hata kufahamiana/kupeana muda wa kufahamiana hakupo,mnakuta kimjini mjini baada ya mwaka mnafunga ndoa matokeo yake ni balaa tupu hata honeymoon haijaisha.
  Nafikiri,kama nilivyosema kwamba hakuna formula kwenye hili lakini pia labda,nasema labda kwa sababu sinauhakika 100% sure,kwamba tujaribu kumtanguliza mungu kwenye uchaguzi wa wenzi wetu wa maisha.
  gfsonwin uko wapi hebu lete busara zako hapa jamani
   
 14. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Rafiki, mambo yanizidi tu kwa kweli! Mzima wewe?
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Mwenye masikio na akusikie...
   
 16. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nipo rafiki, mie mzima! Mwambie majoki bana kua mbona wewe una shape nzuri na una akili vile vile, asiende kwenye sinario moja tu lol
   
 17. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nafurahi kusikia u mzima!

  Hahahhah.........Ngoja nimwambie aje asome hii post yako...nafikiri ataacha kufikiri hivyo...:)
   
 18. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Basi mi nimebahatika, sababu wife anakalio la kutosha hata kujikingia mvua na kichwani yuko safi sijaona.
   
 19. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Dah......... acha wewe asikwambie mtu! THAMANI YA KONDOO........... MKIA BWANA!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Well said kaka KIKUNGU, sidhani kama ni rahisi kama ABC na si 1+1=2 jibu linaweza kuwa 0 au 3.

  Ila haya mauzi ya A B C za mahusiano yanachanganya kama sio kuchosha Khah! Ngoja nami nije na iliuzi la sifa za wanaume!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...