Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wana Jukwaa kwa pamoja!! Mimi ni Mwanaume mwenye umiri wa miaka 30, Leo nimeamua kuweka wazi matakwa yangu kutoka moyani,\ Nahitaji Mke (kuoa) sasa Naamini ni muda muafaka na majua mke...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau wa MMU. Hii ni habari ya kweli kuhusu mke wangu na mwanangu. Wakati namwoa mke wangu alikuta nina mtoto ambaye nilizaa na mwanamke mwingine, natokea tumekua kwenye ndoa...
3 Reactions
77 Replies
11K Views
Ni miaka mitano (5) ndani ndoa, ndoa hii haina tatizo lolote isipokuwa migogoro midogo midogo kama mnavyojua wawili waishio pamoja. Tatizo kubwa ni kwamba mme anasafiri na kufanyia shughuli zake...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimegundua kwa haya majina ya akina Janeti Yana bahati sana mf Janeti Magufuri, Janeti Kagame, Janeti Museven, Janeti Kabila, Janeti Nkurinzinza na Janeti Sasse Ngoswe(Braza Ville)...Hao wote ni...
0 Reactions
142 Replies
16K Views
Ningeweza kuongelea kuhusu mimi lakini nisiwe mbinafsi kila mtu ana maisha yaliyoyapitia yawe ya mteremko au magumu,lakini kuna dhana na njia alizotumia kutatua matatizo yake. Nimejifunza katika...
12 Reactions
165 Replies
19K Views
Nilijiuliza sana ni kwann wahindi wao ni ruksa kuoa binamu zao.Lakin baadae nikajiuliza pia kuna maandiko fulani yanatuonesha kua mwanamke alitoka kwene ubavu wa mwanamume(mambo ya Adam na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaamu zikufikie ewe mpenzi (--) popote ulipo na Mungu akuongoze katika ndoa yako, mwanamke ambaye ulienieleza ukwel wote bila kuficha kuwa ulipokuwa darasa la III ndiyo ulianza mapenzi na kwa...
6 Reactions
235 Replies
29K Views
LOVE YOU! (NAKUPENDA) Mwezi mmoja baada ya kumaliza elimu yangu ya kidato cha sita 2009 February 12 huko jijini Mwanza nilirejea nyumbani kwetu Mbeya....... Nyumbani kwetu nipakawaida sanaa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Awe jinsia yyt,awe na shughuli anafanya na awe na umri ucopungua miaka 18.mm n mwanaume nko moshi.0713578805
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitwa John naishi Dar natafuta marafiki wa kike wa kuchart nao. Namba yangu ni 0714540040
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, kwa ufupi ni kwamba tangu wazo la kutaka kuoa linijie nakosa mchumba ambaye yupo siriazi na maisha, umri wangu ni miaka 32 nimeona umri unaenda nami nahitaji kuwa na familia...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
kwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ingawa bado tafsiri ya mapenzi inatafsiriwa kwa upana mkubwa lakini bado pia maana ya mapenzi imesahaulika hali inayofanya mapenzi ya siku hizi kuwa ya kudanganyana na uongo huo wengi wanaupenda...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Niko kwenye mahusiano muda sasa, kumbukumbu zangu zina niambia na nina uhakika 100% "sijawai kumtambulisha mpenzi wangu au kumuita mpenzi wangu DEMU " yes DEMU hili jina watu wana lipenda sana...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Sasa hawa watafiti sijui wanasayansi wanapotupeleka ni kutaka tu sasa kutuletea tatizo la Air Pollution hapa bongo, kwani najua vijana wengi sana wa kibongo wanaopenda warembo, Hii formula...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kuna ulazima wowote wa kushare ur past things/shits with your new boyfriend and if yes unadhan ukifanya hvy itakuongezea chochote kama yeye kukupenda zaidi au kukutreat tofaut maana huwa inafikia...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi, Nina msichana mmoja ambaye nilianzisha nae uhusiano toka mda tu, na tukaaminiana sana mpaka tukafikia hatua ya kuahidiana kuoana [kufunga ndoa], na kiukweli tulipendana na...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Naitwa dey niko bukoba natafuta marafiki wa kike wanaopenda sexchat 0676818804
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni nadra sana kumkuta au kuwakuta dada zetu wakununua chupi a.k.a kufuli zao lakini mara nyingi huwa ni wepesi sana kuwakuta wakinunua nguo zao ( viwalo) tena vya kila aina. Tatizo hapa ni nini...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…