Mwanamke kwenda kwao mara kwa mara

Mwanamke kwenda kwao mara kwa mara

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Ni miaka mitano (5) ndani ndoa, ndoa hii haina tatizo lolote isipokuwa migogoro midogo midogo kama mnavyojua wawili waishio pamoja.

Tatizo kubwa ni kwamba mme anasafiri na kufanyia shughuli zake mbali na nyumbani kwa kipindi fulani muda wote anaokuwa nyumbani mwanamke haendi kwao.

Lakini amekuja kugundua kuwa muda wote anapokuwa mbali mwanamke amekuwa akienda kwao mara kwa mara tena bila kumtaarifu kuwa anasafiri kwenda kwao.

Je, ni halali mwanamke kwenda kwao mara kwa mara hata kwa mwezi mara mbili na anaishi mbali na kwao je, ni nini kinampeleka huko huko mara kwa mara?
 
Nini kinampeleka huko?-Nadhamni mwanamke atakuwa na jibu zuri zaidi ya hili swali kuliko utakayoyapata hapa jamvini
Je ni Halali? - Inategemeana na nn kinachompeleka huko
 
ndoa ni mkataba sasa inategemea mkataba wao ulikuwa unasemaje
 
Ni HALALI kama na wewe unaona HALALI
 
Sioni haja ya kurudi rudi nyumbani wakati ushaolewa na una mji wako
 
Hata mimi huwa ninawaona sana wanawake wa aina hiyo,sasa dawa yao ni moja Siku akikuaga tu we unamruhusu halafu unamfatilia kimya kimya ikiwa kweli kaenda kwao au kaenda kwa Mchepuko.
 
Atakuwa anaenda kwa X-factor wa home maana mwenye colony kawa Vasco da Gama.
 
Back
Top Bottom