Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High...
2 Reactions
5 Replies
490 Views
Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono. Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
MLANGO WA 7 SIRI KUHUSU NDOA Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka. Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe...
2 Reactions
0 Replies
559 Views
Jana nimechelewa toka kazini sababu ya foleni. Mi na hasira zangu traffic ametusimamisha folenini masaa mawili. Narudi home eti naye kakasirika. Nkamuuliza nini shida ananitizama kwa jicho kali...
16 Reactions
38 Replies
1K Views
Usimtumie meseji za userious sanaa Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako...
18 Reactions
28 Replies
53K Views
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi. Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Ni muda sasa huwa siwaelewi wanawake mnataka nn haswa kutoka kwa wapenzi wenu unakuta mwanaume umetulia na hauna michepuko unampenda mpenzi wako kwa moyo wote. Unajitahidi kumfanyia kila...
3 Reactions
99 Replies
16K Views
Hellow Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha...
12 Reactions
133 Replies
4K Views
Kuna wanaume hasara taslimu. Mtu unawaza mpaka unajisemea tu "mwe hata huyu naye ananitaka.mwanzo wa mikosi" Mkaka anakuja INBOX na mbwembwe zooooote. Anasema yeye ana Mpini mkubwa. Nami nmemjibu...
35 Reactions
143 Replies
15K Views
Kauli hii ni ya ukweli kabisa na ni dhahili kwa kila ndoa sema tu wanaume wengi hawataki kujua hilo, . Kila ndoa ya msahili ina hali yake ya usiri, uaminifu hutegemea maamuzi, maadili, na uzoefu...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao? Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni...
1 Reactions
8 Replies
551 Views
Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu: Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu. Mnasema ndoa ina kelele? Basi tuambieni...
2 Reactions
8 Replies
579 Views
Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Toka saa 12 jioni niko kituo cha mwendokasi msimbazi b nasubiria usafiri nirudi zangu maskani mida ikawa imeenda saa 2 kasoro apo watu kibao kila basi linalokuja wanaligombania likaja basi liko...
19 Reactions
38 Replies
2K Views
Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu. Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama. Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna wakati nyege zinazidi mpaka hata mdada akipita karibu yako unamfanyia tathimini ya kina kwamba ungekuwa nae kitandani. Kwa wenzangu na mimi tunaoshinda maofsini hali hii hutokea na...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nitakuhonga figo nikupe na moyo, Baby me na wivu we jifunze uchoyo, Chuma nilipotoka nilikuwa loyal, Yaliyonikuta mengi nimekoma, Oya noma, Mapenzi noma, Oya noma, Yalinipa kahoma. Ni muda wa...
0 Reactions
13 Replies
667 Views
HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA. Anaandika, Robert Heriel Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu, Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi, Hivi...
19 Reactions
61 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…