Najua hapa kuna wenye ujuzi na hekima na busara.
Hoja ni jee ikiwa kaka yangu wa baba na mama mmoja ana mke, na ameishi nae kwa miaka zaidi ya tisa lkn hawajapata mtoto. ila huyu mwanamke ana...
Nimejaribu kufanya utafiti wangu mdogo,nikagundua kwamba wanawake walio wengi ambao ni wanene hawajafanikiwa kuolewa.Maswali najiuliza kwanini wanawake wengi ambao ni wanene hawajaolewa?
Nilee mimba ya girlfriend wangu miezi 9 yote na tokea Alhamisi iliyopita nahangaika na madaktari kutokana na kupatwa kwake na uchungu wa kujifungua halafu leo alfajiri ananizalia mtoto ambae...
Natanguliza shukrani.
Mimi ni kijana wa miaka ya 27 nina shahada ya ualimu na ndo kazi yangu, niliyoipata mwaka huu. Tatizo langu wana MMU ni kwamba nimebahatika kuwa na wapenzi 2 kwa vipindi...
Itakuwaje siku ikatokea maisha yako yote yakaonyeshwa mbele ya hadhara ya watu, kila ulilofanya la siri na dhahiri? Mangapi usingetaka yaonekane?
Itakuwaje siku ukaweza kusoma fikra za watu juu...
Habari jamani,
Mimi ni mvulana 28yrs, issue ni hii, ninamchumba wngu ambaye nimeshalipa gharama ya mahali kama robo 3 ila siku hizi nipo karibu sana na huyo mchumba wangu.
Siku moja alikuwa...
ITV wameonyesha habari ya binti wa kihindi aliewaasi wazazi wake na kwenda kufunga ndoa na kijana ambaye baba yake hakumridhia.binti anasisitiza ndoa ni halali ya kiserikali huku mzazi anasema...
Kauli mbiu ya hapa kazi tu, ihamie na kwenye idara ya mapenzi.
Ukiangalia kwa undani sana taifa letu linakosa fedha nyingi za maendeleo kwa mizinga ya kina dada isiyo na kichwa wala miguu.
Yaani...
Habari wadau,
Katika maisha yangu ni kijana niliyebarikiwa sana na Mungu, niiweke hivyo, nikijana niliye pata kutembea mataifa mengi sana duniani na kujionea mengi kwa kazi yangu hii tu biashara...
Asalaam alaykum ndugu zanguni Waislam amani ya Bwana Mungu iwe juu yenu ndugu zanguni Wakristo
kisa cha mazingatio na kimetokea hivi majuzi Amenijia mwana mama mmoja akaniambia Akhy nina matatizo...
Za muda huu wapendwa natumaini muwazima wa afya na mnaendelea vizuri.hebu leo naomba tuajadili hii kuhusu mapenzi,tunajua ni rahisi sana kwa wanaume kuingia katika msisimko kuliko wanawake hii...
Nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume mnapenda kutongozaa kila mwanamke? Unakuta anakutongoza unamwambia mimi ni mke wa mtu lakini bado anang'ang'ania kukutongoza.
Badilikeni acheni hizo tabia...
KWA WENYE FIKRA PANA TU BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema...
Jaribu kunitafuta plz mana nashindwa kusoma ajili yako tafadhali.
If there one called ilham here find me plz coz niliapa ntampenda mwenye kuitwa jina hlo mana ilham wangu cjui katolokea wap jamani?
NINI UTAFANYA KWA HILI? Mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama...
Habari zenu,
Nina mpenzi wangu na nampenda sana ila sasa kila tukipishana kidogo tu anasisitiza kuachana naye,yani kitu kidogo tu yeye anasema naomba tuachane.
Hivi njia laisi ya kumdhibiti...
Habari ya hapa wandugu,
Sijabahatika kupata mialko mingi ya sherehe za send off lakini kwa makabila haya niliyotembelea acha niseme yao juu ya zawadi.
Zawadi zote binti atakazopewa ni mali yake...
1.Nothing
It means there is Surely Something and You Need to be Worried?
2.Go Ahead
This is a dare for you, not permission.
Just don?t do it?
3.Whatever
A Woman?s way of saying Screw You...
Habari wana MMU
Leo nimesukumwa nilete mawili matatu hapa, walengwa yatusaidie!!
Nianze kwa kudeclare interests, nyingi ya dondoo nitakazoziweka hapa nimekumbana nazo katika harakati za...