Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanaJF, Katika pitapita zangu nimekutana na watu wakisema kuwa Mke au mume wako siyo ndugu yako bali ni rafiki tuu ambaye hata kesho anaweza akakuacha akaendelea na mke au mume...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Hivi wanawake kwa ujumla wenu mna udhaifu gani kwenye ile sehemu ya kichwa inayohusika na kufanya maamuzi sahihi.......?! Nauliza hivi kwasababu mamsap ananionyesha elementi ambazo hata...
4 Reactions
159 Replies
21K Views
1. You know where you stand. You are his girlfriend or you are a girl he?s dating but either way he?s not scared to define it. He?s not afraid that a girl will cry and run away if she doesn?t hear...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Nina miaka 23 natafuta marafiki Wa kuchat nao kuhusu maisha ...girls & boys, 18-25 yrs. Mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajf wa jinsia ya kiume naombeni msaada wenu juu ya kuandika barua ya posa,je ni maneno gani huandikwa ndani ya barua ya posa na pia muundo wake ukoje?natumaini wanaume wenzangu wanao jua...
1 Reactions
29 Replies
30K Views
Kuna wanawake waajabu, anataka usiguse papuchi mpaka muoane. Akiwa bikra nitamuelewa,ila wengine alishawafungulia geti wakaingia na kutoka afu uje univumilishe mwanaume rijali. Kwa hali hii...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu, Yaani nashangaa sana hivi kwanini wadada wengi wa kibongo huwa wanashobokea sana wanaume wenye magari? Utakuta demu anafuatwa na mwanaume takribani miezi sita lakini bado anazungusha tu...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari wadau, Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje? Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo...
0 Reactions
68 Replies
11K Views
sijui kama nina tatizo au vipi lakini sio siri yani nikimuona mwanamke analia huwa nafarijika sana huwa napatwa na huzuni usoni ila nahisi raha sana moyoni na huwa naenda kumbembeleza kama nipo...
1 Reactions
117 Replies
15K Views
Nimekutwa na HIV mwezi wa 11, 2014. Yawezekana nimepata maambukizi katika kipindi kinachoanzia mwezi wa 8, 2014. Nimeogopa na kujitahidi kulinda afya yangu siku zote lakini imeshakuwa hivi...
2 Reactions
95 Replies
11K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo nina swali, Hivi kwanini hawa dada zetu wa Siku hizi hawajui kucheza muziki? Yaani hata Mkienda wote kwenye sherehe akisimama kucheza hadi aibu, unatamani umwambie rudi...
2 Reactions
97 Replies
14K Views
Habari wana Jf, Najitokeza kwa mara yakwanza kusaka mke wakuoa kupitia jf kwani mke anapatikana popote alipo panga mungu.Mimi Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ni mfanya biashara natafuta mke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi all, I am a single gentleman, energetic, hard worker, Intrepreneur with vision and mission aged 28 years. Hereby looking for a single lawyer ready for a truth and future oriented relationship...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mambo haya yanaweza kuchangia ndoa yako kudumu kwa kwa muda mrefu 1:Upendo Upendo ni neno dogo lakini limebeba uzito mkubwa sana...hivyo ni muhimu kumpenda mwezi wako kwa maneno na matendo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana Jf , Naitwa Yohana natafuta mke wa kuoa, kwa sasa sina kazi ya Uhakika. Mvumlvu na mstahimlivu karibu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama miezi nane iliyopita nilikutana na Dada mmoja kama kawaida tukaanzisha mahusiano na alikua anakuja sana home yaani getho nilipopanga na kunasehemu nilikua nafanya kazi pia ikitokea contract...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeona wanawake wengi wakiwa na mimba wanakua hawajijali, hawavai vizuri, anavaa chochote anachokiona mbele yake, ikiwemo yale madera ya zamani yaliyochoka, uso unakua umepauka, nywele...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Naishi Dar, mimi ni mwanaume, hakuna vigezo wala mashariti. Tuonane PM kama uko tayari, wenye wapenzi pita kimya kimya.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari nawasalimu sana kabla sijaleta hoja hapa ijadiliwe. Ujio wa simu za kisasa na camera ndogo umerahisisha upigaji picha kama wengi tunavyojua kwa sababu baadhi yetu tunamiliki vifaa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za hapa? Mimi ni Mwanaume mwenye umri kati ya miaka 45 na 50,nikiwa nina imani thabiti najitokeza hapa KUTAFUTA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI,Kwa mwanamke aliyeguswa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…