Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?
Ndoa yangu ni changa na bado nahisi sijaifaidi bado. Kinachonitatiza ni msimamo na tabia za huyu mke wangu. Kama mwanaume huwa naongea nae mara kwa mara kumuelekeza ninachotaka na ninavyohitaji...
kuna raia kauliza bhana sio mimi.
Download Diamond Platinumz_utanipenda? | young sharo
Artist: Diamond platinumz.
Song: Je utanipenda?
Tanta lala laaa
La la la la laaaa
Mmmmmh...
Nakumbuka Na Wengi Wenu Mtakubaliana Nami Kwa Kiasi Fulani Kuwa Humu Vyuoni Huwa Kuna Kuwa Na Couples Nyingi Ambazo Mara Nyingine Hutuaminisha Kuwa Huko Mbeleni Baada Ya Kumaliza Masomo Basi Pia...
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....
Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana...
Habar zenu wana MMU,
Mimi ni kijana mvulana middle twenties, nna mpenzi wangu nampenda sanaaaa, tatizo ni moja tu sina hamu ya kusex nae kabxa yaani nikijitaidi nampiga bao moja then stimu...
Wanajamvi salaam,
Ilikuwa ijumaa tar.16/10/2015. Nilikuwa naelekea kumuona mzee mmoja kiongozi wa jumuiya ndogondogo huko kwangu nnakoishi maeneo ya Mbagala.
Nikiwa njiani kabla sijafika kwa...
Tokea zamani wanawake shauku yao kubwa ni kutaka kuwateka (ningesema kumweka kiganjani lakini hilo neno ina ukali kidogo) waume zao, tatizo ni mbinu wanazotumia ndio zinawafelisha.
Ukitaka...
hi my name is john from dar i'm doctor looking for girls to chat with through whatspp my number is 0714540040 i like chatting so much specific with girls no specific requirment needed as long as...
Huyu kiumbe ni waajabu sana ,kiumbe asie na chuki aliejaa mapenzi yasiyo na kipimo,kiumbe ambae yuko tayari kukusamehe kwa kosa lolote utalomfanyia na akasahau kabisa,
kiumbe ambae yuko tayari...
Ni mama mwenyeji wa Kilimanjaro alikuwa anaishi mjini Moshi
nilipokutana naye mara ya mwisho mwaka 2006
Anaitwa Esther Massawe, na aliolewa na mwalimu wa Internationa School, bw.John Lee...
My topic, hopefully is clear. am looking for woman with an age of between 35-45 for a long term relationship.if at all she has children she shouldn't exceed 2 and if she had not happened to have...
Hi guyz,
Siku mpya jua jipya tabu za life zile zile hasa kwetu sisi tabaka la chini.Leo nataka jua kwanini mabinti hawasahau wapenzi wa zamani.Mfano: nilikua na mpenzi but sometimes alikua...
1.Success is not sexually transmitted, so stopsleeping with successful men and work hard.
2. Please do not wear the same weave for nine months, its not pregnancy. Atleast keep your natural hair...
Hi,
Naomba niwaguse sana ladies, kwan mara nying me anapo tongoza anajua nn anafanya either anataka kukuoa au chapa ilale asepe, lakini ke anakuwa hajui kitu zaid kesha ambiwa anapendwa basi...
MAAMUZI MAKUBWA ULIYOWAHI KUCHUKUA, ULIYAFANYA KWA HOFU AU UKUAJI?
Soma - Changia Mawazo yako -na Wengine Mjadala huu
Maamuzi yoyote tunayofanya kwenye maisha yetu, yamegawanyika katika aina...
Jamani waungwana hivi kuna ukweli kwa hili?
Mimi binafsi toka nimeoa navaa pete na niko huru nayo tu, na sioni ajabu pia, lakini nina rafiki yangu kaoa yeye daima hapendi hii kitu, tena zaidi...
Mimi sikuhizi sina marafiki, sijui ni sababu ya familia ama mtindo wa maisha, sasabasi natafuta marafiki ambao tutaanza kuwasiliana kwa whatsapp 0683157704. True friends jamani, hasa wakina mama...