dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,061
Habari za maisha ndugu zangu wa jf.. Matumaini yangu ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..
Back to the main point..
Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu niachane na mpenzi wangu niliempenda sana.. Nilijikuta katika wakati mgumu sana kuishi bila yeye maana nilikosa furaha mpaka nafsi ilikata tamaa.. Aliondoka kwa nyodo na dharau nyingi sana.. Nilikuja hapa jukwaani kuomba ushauri na nyinyi ndugu zangu mlinishauri vizuri sana..
Wapo walio sema ntapata mwingine na nitasahau yote ya nyuma na wapo pia walio sema kuwa sitakiwi kuingia mzima mzima katika mapenzi.. Pia nakumbuka kuna siku nlikuwa napiga story na baba akanambia"ukimpenda sana mwanamke utakuwa mpumbavu unatakiwa umpende kwa kiwango cha wastani tu ili usimpe ufunguo wa furaha yako".
Dhumuni la kuomba ushauri ni kwamba katika harakati zangu za kimaisha nimekutana na binti mmoja mzuri sana tena ana vigezo na sifa nyinyi hata kuliko yule alie utesa moyo wangu..
Nikasema nae mtoto akanielewa na akasema she loves me the way i am.. Na kiukweli kwa matendo yake tu inaonesha ananipenda sana kwa jinsi anavotumia muda wake mwingi kuwa na mimi na pia ananishauri vitu vya msingi sana katika maisha.. Hapa pia navoandika huu ujumbe namsubiri aje getto tukachek afya zetu...
Sasa shida inakuja sehemu moja... Nahisi kumpenda sana huyu binti kwa jinsi alivokuwa mzuri wa sura,umbo mpaka tabia.. Nahofia sana kumuamini maana naogopa sana kuumia moyo wangu tena... Kuna misemo mingi sana inayotoa onyo kali kuhusu kumuamini mtu na kumpenda sana..
Sasa ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyeje ili huyu mrembo ni mchukulie easy tu maana nahisi atanikolea sana..