Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia. Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa...
16 Reactions
48 Replies
5K Views
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke...
12 Reactions
96 Replies
36K Views
Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba...
2 Reactions
11 Replies
723 Views
Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp. Mimi...
40 Reactions
264 Replies
10K Views
Mimi ingawa sisemi Utasema ninaringa, njiani nikikupita Mawazo yakinitinga, huenda nikabubuta Majambo nikiyapanga,nikenda kwa kujivuta Mimi ingawa sisemi , ila ninayo mazito Utazani nina njaa...
1 Reactions
2 Replies
299 Views
Ahsanteni Nimefanikiwa kupata rafiki mwema mwenye vigezo zaidi ya nilivyoandika. Mungu awabariki
55 Reactions
274 Replies
10K Views
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU. Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia...
29 Reactions
284 Replies
21K Views
Mnamadharau kisa hamna hela mmepauka na sura zinatisha . Mmechoka kama hii nchi . Kila mtu humu anapumulia gesi . ndio maana mnapigwa matukio . Mnakuja kulia lia humu. Kama kuna mtu kamfikia huyu...
5 Reactions
94 Replies
3K Views
Nimekuta story hapa chini sehemu, kwa wale waliobahatika kuanza tendo la ndoa kwa mara ya kwanza walipooana, hali ilikuwaje kwa siku ya kwanza? tupeni uzoefu na hamasa kwa wote ambao wamepanga...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+. Wanaume...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Wakuu Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Hey wadau, Bila kupoteza wakati. Twende jamvini moja kwa moja enhe tuelezane wadau. Katika mwili wako najua kuna sehemu ambayo inakupa confidence na kukufanya. Uipende zaidi, mimi binafsi...
2 Reactions
212 Replies
17K Views
heshima yenu wana MMU hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia. ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke...
18 Reactions
268 Replies
18K Views
Kweli maisha yanabadilika wandugu hali ya sasa kwenye mapenzi siyo kama zamani,enzi hizo ukimpenda mwanamke halafu mkatibuana ukimuambia kuanzia leo mimi nawewe mapenzi yetu yamekwisha basi hapo...
18 Reactions
192 Replies
16K Views
Mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku Mwanza. Sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini. Sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu, kila siku mke wa mjomba...
3 Reactions
114 Replies
22K Views
Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia...
16 Reactions
96 Replies
6K Views
Paprika member mwenzangu hapa jf Najua sikufaham wala hunifaham, but moyo kiza kinene nimejikuta tu navutiwa na wewe. Real ur so sweet, napenda siku moja tukutane tufahamiane nikueleze hisia...
6 Reactions
185 Replies
14K Views
Nimeficha kidogo lakini nadhani nimeeleweka. Sazingine tunakutana na wate mashines, lakini kimsingi hakuna machine yenye maji ambayo haya kauki. kama ukiipiga vizuri inakauka na inakuwa mnatos na...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu habarini za weekend, Sitaki kuwachosha na salamu nyingi ngoja niende moja kwa moja kwenye Mada. Imepita miaka minne tu tangia niingie kwenye chama la wana (CHAPUTA), na chanzo kilikuwa...
-1 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…