Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal...
6 Reactions
21 Replies
963 Views
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya...
27 Reactions
218 Replies
36K Views
Sijui hata nianzaje ila huu mtindo kwa utafiti niliyoufanya naona unaota mizizi kwenye jamii yetu. Hii si sahihi hata kidogo mdada umeolewa lakini kila Weekend upo kwenu kwa mama kupiga umbea na...
14 Reactions
83 Replies
8K Views
Nimejaribu kuwaza sana, baada ya kuwa na watoto kadhaa kwa hizi pisi kali zangu. Nikaona njia ya kuwaweka pamoja leo na kesho ni kuwashirikisha katika kutekeleza mawazo yangu kibiashara, ili wao...
1 Reactions
2 Replies
363 Views
Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu.. Mwana hata...
20 Reactions
136 Replies
6K Views
Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana...
4 Reactions
6 Replies
992 Views
NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka...
7 Reactions
215 Replies
15K Views
Mimi binafsi nilianza kufanya mapenzi mwaka 2014, japo mwaka 2012 nilipata demu mmoja alinipenda sana na alikuwa bikira nikashindwa kumla kwa sababu nilikuwa sijui namna ya kuondoa bikira. Binafsi...
2 Reactions
152 Replies
22K Views
Nimezaliwa Mbeya maeneo ya Kabwe miongo kadhaa iliyopita, nilibahatika kupata elimu yangu ya msingi na kisha sekondari hapo hapo mjini. Nilipomaliza sekondari (form 4), sikufaulu hivyo ikabidi...
5 Reactions
33 Replies
14K Views
Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye...
1 Reactions
6 Replies
570 Views
Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine, na kwa nini huyo mwenye matamanio zaidi iwe hivo? Karibuni.
4 Reactions
9 Replies
875 Views
Hakuna raha kama mwanamke kujisitiri. Kujiheshimu na kujali ndoa yako. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Bidada kaolewa lakini simu yake haiishi meseji za wasap...
19 Reactions
80 Replies
8K Views
Helw wakuu, Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendana nae sana, sijawahi...
24 Reactions
417 Replies
47K Views
Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo) Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya...
11 Reactions
70 Replies
11K Views
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana...
134 Reactions
804 Replies
200K Views
Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza...
13 Reactions
96 Replies
5K Views
Wacha nikupe dondoo kidogo kwasisi tuliofuzu hii kozi yakudate wamama watu wazima tunavyofauru changamoto zao. Ukitaka kufaidi mtu mzima usitembee na ambaye bado anamume, chukuwa mjane ama ambaye...
22 Reactions
170 Replies
32K Views
Jana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba. Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka...
19 Reactions
96 Replies
5K Views
Nakumbuka mwakajuzi nilitoka na kwenda karume kutafuta nguo za mtumba hasa zile zinazobana kama taiti pamoja na vijisketi vifupi. Hii ilikuwa ni miezi kama mitano baada ya mimi kuachwa na mume...
3 Reactions
11 Replies
659 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…