Baada ya kufuatilia uzi wa kula tunda kimasihara hapa kwa muda mrefu, nimejikuta nikikumbuka matokeo hasi ya huu umasihara. Moja ni kupewa tunda alafu kwa sababu kadha wa kadha unajikuta...
Najua upo humu jamii forum kwani mimi na wewe tumefahamiana humu humu kupitia Kule kwenye jukwaa la siasa toka mwaka 2016.
Jesca umeniuzunisha sana kwa kutokuniambia ukweli kuwa wewe unajinsia...
Wakulungwa salama?
Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia
Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda...
Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako.
Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis...
Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake.
Adhabu...
1. Usiendekeze nyege sana ukataka kula kila mwanamke.
2. Usiendekeze nyege ukabaka watoto na kuwalawiti.
3. Usiendekeze nyege mpaka unasahau kuvaa condom kisa imesimama wewe unataka kuweka tu...
Tafiti hupingwa kwa tafiti na sio kwa kelele.
Ukisoma post na koment za watu wengi humu utagundua kwamba watu wa humu ni waathirika wakubwa sana wa mtandao wa tigo.
Nimesoma post 76086 na koments...
Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu
Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi...
Hamjamboni wote!
Ukiona mtu yeyote mapenzi hayambabaishi ujue anatumie Kanuni ya kutowekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwa Mwanamke.
Asije Panya yeyote akakudanganya kuwa usipokeeza kwa Wanawake...
Habari zenu,
Mimi kama Mtanzania mwenye upendo juu ya nchi yangu huwa najiskia vibaya tukisemwa vibaya haswa na Wakenya au raia wa nchi zingine. Najua tuna changamoto zetu kama poor customer...
Dear Miss Leejay49 , Good evening my Favorite Member here at JF
As you said yesterday, after writing here that one of the JF Members I like is You. And Ivan Stepanov said he loves you, He also...
Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa...
Ubongo wa mwanamke ni kama vile one way traffic, hua hawawezi kuwaza across phenomenon hata mwanamke awe na madegree 10 hua hawana crosscuting thinking na ndio maana hata kubishana na mwanamke ni...
Ni kwamba.
Natafuta kuwadi aliyebobea na mwenye ujuzi na kazi yake ili aweze kuniunganisha na binti mmoja niliyetokea kumpenda sana ambaye yupo humu ndani anayeitwa DEMISS (Cha mdeko).
Nahitaji...
Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana...
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika.
KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI
Sifa za muombaji:
1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu.
2. Umri...
Ukweli ni kuwa sisi Wababa ambao ndio Baba wa Familia hizi zote Ulimwenguni tuna uchungu sana wa Uzazi.
Uchungu wetu una maumivu makali kwenye scale ya 10/10 wakati wanawake wanakuwa na 7/10...