Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpeni pole huyu binti, Binti huyu alizaliwa mrembo mwenye sura ya kuvutia, tangia akiwa shule wavulana aliosoma nao walimsumbua kumtaka ki mapenzi, alipomaliza kidato cha nne hakuwa na matokeo...
6 Reactions
105 Replies
8K Views
Habari wa jamvi? Mimi ni kijana wa kiume, nilikua na girlfriend wangu tulipendana sana wakati tunaanza mapenzi yetu, lakini kutokana na sababu mbali mbali ilipelekea kusitisha mahusiano yetu. Na...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Narudia tena, usiulize kwanini na unywaji bia wangu wote sijawahi kutoka na wanawake naokutana nao bar. Kama mtu mzima huna budi kujiongeza pale ndugu yako anapopatwa na majanga. wahenga walisema...
14 Reactions
112 Replies
9K Views
Je kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata ukifanya mapenzi (kujamiana) kabla ya kuwa kwenye ndoa? Karibu kwa mjadara
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, habarini. Mwanamke anapokuwa na hisia za mapenzi, huwa anafanyaje pale anapohitaji akate kiu yake awe ameolewa au hajaolewa, awe na mpenzi au asiwe na mpenzi!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Kama kichwa cha habari kisemavyo. Kupiga nyeto basiiiiiiii LEO. Ushauri,Maoni na jinsi ya kurudisha nguvu za kiume kama awali. Na nifanyeje? XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
6 Reactions
68 Replies
11K Views
Salaam wana JF, Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana. Yaani mwanamke...
12 Reactions
87 Replies
8K Views
Imekuwa ni kama desturi sasa, unakuta mtu unataka kuoa/kuolewa umempata mpenzi wako mnapendana. Unaenda kwa wazazi kujieleza nimepata mchumba anatokea mkoa fulani ni wa kabila fulani... Basi hapo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Marriage doesn't cure lust, if it did, adultry woundn't exist. Dont view marriage as a sex release. Self control is still a requirement. Lust doesnt care if you are married or single. I saw...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka nianze kusali makanisa hasa yanayoongoza ibaada kwa lugha iliyokuja na ndege na yale ya mjini kati, kuna kitu kiukweli huwa kinanipa shida sana hasa pale unakuta umekaa na mdada ana min sket...
8 Reactions
82 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF....naamini mko salama kabisaa Jamani hivi psychological torture inatibika? Psychological torture mfano kwa mtoto, watu wazima n.k Na pia kama kuna mtu anafahamu sababu za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata: 1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa 2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani...
31 Reactions
358 Replies
108K Views
Unalikuta lidume zima linajisifia urijari kwa kuwa na mademu kama madira ya elfu 3, badilikeni nyie wanaume, kama mwanaume rijali nyumbani wapate ugali.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Hello wana jamvi, Naomba kuuliza jambo ambalo linanisumbua sana moyoni. 1. Hivi kwanini watu huumizwa kwenye mapenzi? 2. Why people leave their true lovers for temporary ones? Je ni kweli watu...
0 Reactions
6 Replies
851 Views
Unampigia mwanamke simu unamuuliza uko wapi,? Kisha anakujibu niko nyumbani, una shangaa kidogo kisha unamuuliza wapi huko then anajibu huku Mbezi Beach Salasala. Maswali mengi unajiuliza ina...
9 Reactions
89 Replies
9K Views
Mana hapo nataka kufaham sheria yetu ikoje!??
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Naomba usaidizi kusema uko na Sexy eyes kwa kiswahili ni
2 Reactions
55 Replies
16K Views
Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pia. Kulingana na wataalam, kuna sababu kadhaa ambazo...
3 Reactions
91 Replies
90K Views
Za asubuhi ndugu zangu.. Natumaini mmeamka salama. Ndugu zangu, dhumuni la kuleta uzi huu hapa jamvini ni kuomba msaada hali ya mahusiano yangu imefikia pabaya. Na sijui nafanyaje mpenzi wangu...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Habarini wakuu, Leo naomba tushee uzoefu kidogo kuhusu phone sex,phone sex ni ngono kwa njia ya simu kupitia calls,text n.k Kwa maoni yangu hua naona kama ni njia ya kujihamasisha kufanya...
2 Reactions
88 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…