MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
Je kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata ukifanya mapenzi (kujamiana) kabla ya kuwa kwenye ndoa? Karibu kwa mjadara
Moja ya athari ni kujiungiza mapenzin wakati while hijamaliza ndo unakuja kutuandikia Swari badala ya SwaliJe kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata ukifanya mapenzi (kujamiana) kabla ya kuwa kwenye ndoa? Karibu kwa mjadara
"Swari" ni kitu gani?Je kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata ukifanya mapenzi (kujamiana) kabla ya kuwa kwenye ndoa? Karibu kwa mjadara
Aaa, basi nimeelewa, nimeona tena neno "mjadara""Swari" ni kitu gani?
Jinsi yako ?Uyui HB# nitajie japo madhara matatu.