Habar zenu wanajamii forum..
Naomba kufahamu kuna watu hasa sisi wanaume tumekuwa na kasumba kwamba kuwa na madem au wanawake wengi ndio kipimo cha kuonyesha uanaume inafika mahali adi unamkuta...
Bwana Yesu asifiwe!!!
Siku izi kumekuwepo na mapnz yanayofanyika kwa kupigiana simu au kutumiana Meseji.
Hilo jambo si sawa kabsa, lakn ndo limeshika chati sana kwa vijana na mabinti walio...
Hawa watu siku hizi haina haja ya kuwafata bar, kambi ya fisi, shivas au club.
Unachopaswa ni kuingia pages au magroup ya facebook ya mapenzi utawapata.
Jiunge na group la haya mambo whatsapp...
Unakuta Umesimama kwenye gar kisha mdada kasimama mbele yako kisha anakuletea manyanga ya nyuma,na kwavile ile pachu pachu inakuwa usawa wa jongoo na jongoo halina hiyana utakuta lina chachamaa...
When it comes to picking up chicks in public, most blokes are too shy to attempy while some don’t even know how to start. The thing is, wooing a girl in public is simple and a lot easier than when...
Habari ndugu zangu katika MMU.
Tutambue katika karne hii magonjwa yameshamiri kwa kiasi kikubwa zaidi. Mara utasikia BP, Sukari, Kiharusi mpaka wengine kupata ukichaa kutokana na msongo wa...
Nina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri...
Yaani hapa muendelee tu kusema chips za wanaume wa Dar zinazingua,hivyo vitu hapo juu havivumiliki hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 100 lazima tu utakoroma baada ya kimoja au kama washikaji...
Mhanga wa picha za utupu zilizosambaa mtandaoni na kuhusishwa na yule mwanamke ambaye ndoa yake ilivunjika kwa kupelekewa picha zake kwenye harusi yake(ishu ambayo sio kweli, hawa ni watu wawili...
Kuna mambo yanayotatiza hapa ulimwenguni haswa katika maisha ya ndoa. Wanawake wengi wamehalalisha kuwa wao watakufa baada ya waume zao. Wazazi,ndugu na marafiki wa mwanamke humshauri mwanamke...
Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao...
Habari wana MMU,
Mkasa ulionikuta weekend hii ni balaa, sijaamini kabisa.
Wiki kadhaa zilizopita nilikutana na mrembo flan hivi, sio siri kajaaliwa secta karibu zote, na urijali unavyotuponza...
Salama jamani?
Ndugu zangu,nitakayoyaandika hapa sio ujinga ila nadhani niliyafanya in the name of love.
Miaka kadhaa nikiwa darasa la 5 nilikutana na binti flani ambae tulikua nae darasa moja na...
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI.
Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo...
Habarini kaka na dada zangu mimi ni kijana ninayeelekea kwenye uzee nina miaka 38 sasa. Ila mpaka muda huu sijaoa. Kiukweli sababu si Uchumi. hapana kama ni uchumi kwa kazi yangu ningeweza kuoa...
Kuna jamaa yangu ameniletea malalamiko kwamba ana ugomvi na mkewe ,ugomvi unao tokana na kudai kwamba wana miaka kumi na mitano na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu lakini katika kipindi...
Hii ni kwa wale walio ndani ya ndoa, sanasana wanaume. Kama uliwahi kumpa mimba binti kipindi uko shule, au hata kama ulilala na mfanyakazi wa ndani na kuzaa nae. Aisee mchukue mwanao.
Kwa dunia...