Costa concodia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 209
- 48
Uvaaji wa wenu sio mzuri kabisa.
Mbadilike na mjitambue.
Mbadilike na mjitambue.
una umri gani? nguo fupi zilivaliwa toka zama, leo wewe ndiyo unatoka povu! wacha watu wapendeze kwa raha zao, wewe zinakukwaza nini, jiungie ndani basi!
Uvaaji wa kileo kwa akina dada sio mzuri badilikeni. Mbona miaka 8 iliyopita mlikuwa hamjafikia kiasi hichi cha sasa?
Na wanaume wanaova sket ck iz cjui tuwaitaje???
Ni kweli wanawake tumezidi, ila waseme na wanaume wanaovaa skin tight na skinny jeans