ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Kuna jamaa yangu ameniletea malalamiko kwamba ana ugomvi na mkewe ,ugomvi unao tokana na kudai kwamba wana miaka kumi na mitano na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu lakini katika kipindi chote hicho baba mtu anadai hajawai kuona sehemu za siri za mke wake.
Anadai kwamba yeye amekuwa mtu wa kujiachia maungo yake kwa mkewe lakini mwenzake amekuwa tofauti sana na mwepesi mno kufunika kwa mikono nyeti zake mara baada ya shughuri.
Anasema amejitahidi sana kwa kipandi chote hicho bila mafanikio pamoja kufanikiwa kuzaa naye watoto watatu. Sasa kabla sijamwita shemeji na huyu mbaba kuwapa ushauri nimeona nipate kwanza mawazo yenu members wenzangu wa MMU.
Karibuni kwa ushauri wenu.