Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilikuwa ni miezi miwili iliyopita nilipochukua uamuzi wa kuhama nyumba niliyokuwa mara ya kwanza. Kama mtakumbuka ni ile ambayo baba mwenye nyumba aligundua kuwa namgegeda mwanae. Basi baada ya...
1 Reactions
92 Replies
9K Views
by Carmen Harra We all have a “grandma” tale to tell, and chances are our grandmothers’ life truths overlap. That’s because wisdom is a universal language far superior to discordant knowledge …...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani waungwana Leo baada ya kutoka kanisani, nimemkaribisha nyumbani dada mmoja ambaye ni rafiki yangu na tunaheshimiana sana, kwa hiyo tumeongozana naye mpaka nyumbani. Nikawatambulisha mgeni...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
(Mods nauliza, animal copulation ni porn?) Anaitwa Bonobo au pygmy chimpanzee, wanapatikana DRC tu, kusini mwa River Congo. Nimuelezee kidogo. Binadamu na Bonobo wana Share asilimia 98.7 ya...
15 Reactions
57 Replies
32K Views
habari zenu wana JF! kiukweli sijui kama ni uhalisia au tumejizoesha tu,hii tabia ya kuonga huwa najiuliza kila siku kwanini sisi wanaume tuonge?kwanini wananwake wasituonge?. naomba niwasilishe...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habarini za weekend, Nimekuwa na kitu kinanisumbua sana moyoni mwangu. Mimi kama specialist wa magonjwa ya wanawake ninawiwa kuanzisha mada maalum kutoa nafasi kwa mtu yoyote kuuliza swali...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Nipo ndani ya ndoa mwaka sasa, nilibahatika kusoma na kupata kazi katika kampuni moja ya clearing na kupata kamshahara cha laki sita kwa mwezi. Lakini tokea nioe wakwe na mdogo wake mke...
5 Reactions
71 Replies
10K Views
Mimi nahitaji mwanamke aliyeko serious kwa ajili ya kuoa, elimu yangu ni degree, umri ni 27yrs. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na elimu kuanzia form four Awe na umri kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
1.Baby,nimepitia leo mliman city kuna wigi nimeliona nikalipenda,linauzwa laki mbili tu,me hapa nina elfu 50,afu nadhani nikilivaa siku ya sikukuu litanipendeza sana-Anita wa Tegeta. 2.Bae kodi ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kila nikisikiliza nakutafakari wimbo wa Bahati Bukuku Dunia haina huruma nashindwa kupata jibu nani alisitahili msamaha kati mke na mume. Tujadili wote.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sifa za mwanaume rijali ni zipi...?
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Habari wana Jf, natumai wote tu wazima na tunaendelea kupambana.. Kama swali linavyouliza hapo juu tupeane uzoefu ama ujasiri kuhusu hili swala la kwenda kupima na mwenzi wako na kupewa majibu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau wa mmu kwanza nawatakia Dominica njema, Naomba sasa niende moja kwa moja kwenye topic, sijui hili swala ni la kimungu zaidi au kisayansi mimi nachanganyikiwa na nimekosa majibu imebidi...
6 Reactions
87 Replies
9K Views
Pokeeni salamu zangu, Kati ya maswali ambayo yananiacha bila majibu ni kusikia mwanamke kabakwa na mwanaume, tena mwnaume mwenyewe ni mmoja hii kitu huwa hainiingii akirini kabisa mwanaume mmoja...
6 Reactions
152 Replies
20K Views
Hivi pale wanaume wnapo ngangana kutafta mwanamke mwenye umbo zuri wanakuwa wanamanisha nini?. mwanaume anakutokea kisha anasema nimeoenda umbo lako hivi unategemea ilo umbo ndo litakupatia mke...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Habari za jumapili Kwa wale wenye mademu wengi zaidi ya watano halafu hutaki kugonganisha fanya hivi. Kama ukiwa na demu wako ndani halafu mtata anataka kukakua simu yako au akae nayo kuangalia...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali. Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji...
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Habarini wanaJF na wazazi pia walezi kwa ujumla. Napenda kuwakumbusha kuwa katabia ka baadhi ya wazazi au walezi kulala kitanda kimoja na watoto wadogo (sio kufanya nao mapenzi) huku wao kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaMMU. Bila hata kuchoshana naenda kwenye mada tajwa. Kutokana na hali ya mfumo wa maisha kutazamwa na watu wenye akili tofauti nakuona kila kitu wanaweza kufanya, kuna mambo ambayo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…