Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti
mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections...
Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana...
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi...
Habari wapendwa!
Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali!
Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa...
Kuna mtu nlimsikia anasema siku moja alikuwa na demu wake akasahau mafuta ya nazi. Alitumia mate mpaka yakakauka. Nikajiuliza why atumie mate au mafuta ya nazi?
Mwanamke akikupenda akiwa na...
Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa...
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo...
Nimemuacha Mume wangu kwaajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!
Hapa ofisini kuna kaka mmoja ni mwalimu mwenzangu. Wakati naajiriwa alinikaribisha vizuri sana kiasi kwamba alihangaika...
Happy Easter Monday MMU Family. Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow.
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, and a mother of four kids, miaka hiyo Nilikuwa...
Wakuu, Nilikuwa, na mahusiano na binti mmoja, kwa kipindi kirefu sana, nikaja nikamnunulia simu, kubwa, akatumia kwa mda sana,
Alikuwa ana ka kwa bibi yake, siku moja akaenda kusalmiaa kwao...
Ni aina ya Mwanamke kwenye minyanduo yeye sauti yake inaibuka kuwa base na zito.
Akiguna sijui ndio kuugulia unasikia kama amepandisha jini.
Ila akiwa normal ana sauti laini, Wema sepetu...
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014.
Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere.
Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu...
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,
ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka...
I will be short
Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na...
Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)
Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi...
Mume wangu ananipa Laki 5 k
Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na...
NrNe.....
Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..
Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi...
Mama watoto yuko nje ya nchi akinoa bongo yake.
Nyumbani kwangu naishi na watoto wawili wadogo, wadogo wawili wa mke wangu, ambao Ni shemeji zangu na mama yangu mdogo ambaye yuko hapa mjini kwa...
Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?.
Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya...