Wapendwa nawasalimu.
Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa...
Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua...
Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili...
SEHEMU YA KWANZA:NAREJEA TZ KUTOKEA MASOMONI.
Paa,natua Dar kutoka nje ya nchi nilipokuwa nasoma shahada ya kwanza.Nilifikia nyumbani kwa kaka yangu ambae alikuwa mtu mzima sana yaani umri...
Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua:
1. Hofu zako kuu.
Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako.
2. Kiasi halisi cha salio lako la benki.
Siri = nguvu. Uwazi...
Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema...
Natafuta mchumba wa kike
Vigezo awe amezaliwa
1. MWAKA
1998
1999
Au 2003
2. Mwezi wa kuzaliwa
Wa9
Wa5
Wa6
Wa2
Wa4
Wa7
Wa11
3. Tarehe ya kuzaliwa
2
6
9...
Watu wengi wanasikia tu kauli kuwa sio vizuri kumnyima mwenye njaa chakula lakini wengi wao hawana ufahamu hata kidogo kwasababu gani ni mwiko na kosa kumnyima mtu chakula.
Kuna wengine anaweza...
Wakuu,
Huu ni mtindo ambao vijana wa kileo huufanya,ila ipo siku,kama sio leo basi kesho utakugharimu vibaya mno. Utakugharimu huenda hela ikaliwa,binti akapata matatizo nk.
Nimewasanua msije...
😂
(IMAGE REMOVED)
Nilikuwa natafuta picha Google drive nikakutana na hii! ! Hili ni moja ya maballistic missiles yaliyonipiga. Lilileta maafa makubwa kisaikolojia.
Thankfully NO Bluetooth...
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe...
Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi.
Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao.
Kwa utafiti...
Ndoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga...
Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika.
Na Kanisa hilo...
Bibi wa miaka 86, ameapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa misri mwenye umri wa miaka 37.
Iris Jones na Mohammed Ibrahim walikutana katika mtandao wa kijamii mwaka 2019...
Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression.
Leo...
Wakuu,
Makolo lazima wakae hiyo june 25,na kama wakikaza sana basi sare tena sare tasa,
Kwa hiyo tutakuwa tumetangazwa rasmi ubingwa huu wa mara ya nne mfululizo
Ifuatayo ni ratiba ndogo ya yanga...
Binafsi
sivutiwi kabisa na makalio ya mwanamke, yawe madogo, size ya kati au makubwa hayanisisimui chochote kile nikiyatazama
Ukiona nmepishana na mwanamke na nmegeuka nyuma, Basi jua akili yangu...