wakuu habari za siku
#NoReformsNoElection
Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha...
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa...
MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA.
1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞.
2...
Katika Jamii, kumekua na Maneno Kila siku kuhusu single Mather ila Mimi kwa mtazamo wangu naona hili swala limetokana na mfumo wa malezi.
Ukisikiliza wanawake wanalaumu wanaume kua ndo chnanzo...
😂 Huambiwi direct, unategwa uulize whats wrong sweety, kuna shida gani mbona huna furaha, mbona umesikitika, kitu gani unawaza, n.k. ?
Ukishauliza tu hapo mageti ya matatizo ya kifedha...
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake.
Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke...
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event
Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
Sio kawaida yangu kuja na uzi kama huu ila naamini JF ni sehemu sahihi ya kupata maoni yaliyonyooka kuliko mtandao mwingine wowote. Iko hivi... kama mara 2 imenitokea nikiwa kwenye tendo lile bao...
Habarini wakuu
Kuna jamaa mmoja ni mwalimu wa Secondary huko masasi anajifanya mende wa kutembea na mke wangu nimemuonya zaidi ya mara mbili, naona anakaidi huwa anavizia mimi nikitoka huwa...
Ila wadada wajanja sana🤣🤣
Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia,
pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe...
Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3
Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa...
Nimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa
Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.
Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba...
Wakuu salaaam..
Moja kwa moja kwenye mada
Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi.
Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape.
Ilivyo...
Hii coincidence huwa nashangaa mpaka leo, katika mahusiano tangu nilipoanza imetokea Wanawake wenye jina la Emmy kuwa nao watano tofauti. Anna watatu na Halima wawili, kwako ni jina gani...
Those shoes...
That gown....
Ko ko ko ko..... One step at a time...
There is no need to rush, Mahaba in fleek.... eeheheheheheheee
Ko ko ko ko .....
Matata K.
Hivi huyu bwana bado ananyea debe? Aliviharibu sana visichana vya shule za msingi huyu.
Kwa wale wenzangu na mie mliokuwa mjini kabla chipsi hazijafika lazima mtakuwa mmelisikia hili jina...