Dah! Kasie katika siku umenibamba Bibi wewe Basi ni Leo,shuka huku kwenye 20s nikuoe😍😍
Ntanyakuwa moja ya mjukuu wako nionje utamu wa vina saba vyako..Aahahahhahaaaa Kenzy McKenzy....
Time flies my dear its so hard to wait and not so easy to rush/jump/flies to where I am....
Thats why they come up with, its just a number...
For me relationship matters more than marriage... Note that marriage is official relationship and relationship is casual daily life interructing with human beings....
Am happy I have touched your feelings, cheers!!
One Step at a Time.... Out and About...
Have Fun...
Matata K.
Basi sawa nakutakia mapenzi mema na wakati mwema unaoishi Kama huuKila la kheri, japo utavipata kupitia binamu zangu maana mie ntakufa nao... ehehehehee.
Nataka niongee na mshana ashike manjangunjangu mahirizi yanayopumua a.k.a bima ya afya,akurudishe 20s Nile nijilie nipate raha ya huba kwa mahaba matamu ya kasie mtamu..Dooh mambo yangu haya....
Mahaba bin Mapenzi....
Nataka niongee na mshana ashike manjangunjangu mahirizi yanayopumua a.k.a bima ya afya,akurudishe 20s Nile nijilie nipate raha ya huba kwa mahaba matamu ya kasie mtamu..
Round and around[emoji6]Dooh mambo yangu haya....
Mahaba bin Mapenzi....
Those shoes...
That gown....
Ko ko ko ko..... One step at a time...
There is no need to rush, Mahaba in fleek.... eeheheheheheheee
Ko ko ko ko .....
Matata K.
Sijakuelewa? Kukamilisha oktoba uchaguzi au?Kuna tenda kama mbili tatu hivi zimebakia za kukamilisha okutoba.
Nikulengeshe..?
Go straight to the point hayo mafumbo yako siyataka plssssssUmeelewa halafu hajaelewa....!!🤷♀️🤷♀️🤷♀️ na huna uhakika kama umeelewa.....